Kuelekea Mechi ya simba na Yanga
siku ya jumamosi hutawaliwa na sayari ya zohar na nyota yake ni ya mbuzi na kondoo.Sayari hii ni nyeusi na inahusika na mambo mabaya kama kuvunjika kwa vitu,magomvi,hujuma nk
Simba yanga
=1
Mechi inachezwa tarehe 1 na namba 1 ni witiri haigawanyika kwa mbili...Simba namba yake kitabibu ni 19,Yanga namba yake kitabibu ni 25,hivo simba na yanga wote wana namba witiri..
S=19
Y=25
S=19+9+13=41
Y=25+1+26+14=40
Simba=42
Yanga=41
NB:Mechi hii simba atashinda uhakika kwa 100%, sababu namba ya siku na tarehe na nyota inambeba na ndivyo inavyosema.tarehe 1 ni namba witri na mwezi wa 10 ni shufa na mahesababu ya kitabibu yanaonyesha namba za simba zinalingana na hivyo ushindi kwa simba ni lazima,lakini wasiwasi wangu siku mechi inayochezwa hutawaliwa na nyota ya zohal,ktk mechi hii tunaweza kushuhudia kadi,ugomvi,injury au chochote kibaya.