Namba hii ina maana gani? 1.6180339887.

Namba hii ina maana gani? 1.6180339887.

Mmh Mama unaniongopea nakuamiani Upo vizuri ghorofani. Unanizodoa tu
Ehehehhehehhehehe not in mathematics!!
hii essay umeandika mwanangu,nimebaki nashangaa tu nikajiuliza na kichina umeshajua?
Aliyeniroga na Mase ,HAENDI MBINGUNI!!
 
Ehehehhehehhehehe not in mathematics!!
hii essay umeandika mwanangu,nimebaki nashangaa tu nikajiuliza na kichina umeshajua?
Aliyeniroga na Mase ,HAENDI MBINGUNI!!
Hahaa mtu anayetamka mase ujue hata repeating decimal hawezii
 
Hii kitu ni first time Kwangu Mimi kusoma ila ina uhalisia kwa kiwango kikubwa. Nimejaribu kusoma from other source nimegundua Kuna facts nyingi hasa za majengo ,mimea like maua n other spiral plants,galaxy,human body etc zinaapply . Mfano alizeti formation yake ya zile mbegu ina apply this principle.. Anza darasa hapa kuunderstand hii principle ..usiwe tu mvivu wa hesabu learn it's Simple Fibonacci Sequence kisha move to another page in google u will learn alot

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah!! basi kilaza Mimi darasani nilikua nakaa mbele kwakua mwalimu alikua anajua viazi wote wanakaa nyuma basi maswali mengi yalikua yanaenda nyuma akijua waliokaa mbele wote vichwa.
 
Back
Top Bottom