Namba ya kuripoti RUSHWA TRA

Sasa sijui tutashitaki kwa nani, Takukuru wenyewe wakikukamata cha kwanza wanachokuuliza una bei gani tumalize hii ishu
 
Tatizo Kuna maeneo ukibanwa Wala hakuna mtu atakuomba rushwa bali wewe utambembeleza apokee

Jamii forum
Wajomba waliofanyiwa kwny tax audit/investigation wanaelewa Sana hii πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„.

Na wale wa Arrears/interests/penalties nao wanaelewa hicho ulichokisema
 
Kwa hali ilivyo Tanzania kwa sasa, sidhani kama kuna check and balance ya UKWELI. Hizo namba kwa mawazo yangu ni utaratibu tu. Je tunauhakika gani kuwa hao wenye kupokea taarifa hizo, wao hawali kwa kufuata urefu wa Kamba zao?

Tumeshuhudia jinsi vyombo vya haki vinavyo zungukwa na tuhuma za kukosa uadilifu (Mahakama, Police n.k.) kuna maneno mengi juu yao, hata Mh Rais alishawahi kuvisema hadharani. Sasa hizo namba za rushwa TRA wanapokea Malaika au hawa hawa Wananzengo wenzetu. Inafika mahala sasa kila mtu anaishi anavyo jua mwenyewe.
 
Wajomba waliofanyiwa kwny tax audit/investigation wanaelewa Sana hii πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„.

Na wale wa Arrears/interests/penalties nao wanaelewa hicho ulichokisema

Itakuwa watu wanaowasimamia Hawa tra sibure Cha msingi hapa ni kuona tunasaidiwa.Hii Ni taasisi nyeti itakuwa pengine ni watu Maalum wanawachunguza tuwape ushirikiano ili Hawa njaa njaa wakomeshwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…