Namba ya nani unaitafuta bila mafanikio?

Namba ya nani unaitafuta bila mafanikio?

Mbona hamjaomba namba ya nanii???
Yaan nimepitia kila post ila namba yake haijaombwa.
Na mimi siombi vile vile 😂😂
 
Miaka fulani kuna bwana alikuaga ana vibe kupitiliza mda wa praise anapiga beki madhabauni[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi siku hizi nimepumzika kuimba madhabahuni.
Japo Mungu namuimbia kila siku,kila saa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi siku hizi nimepumzika kuimba madhabahuni.
Japo Mungu namuimbia kila siku,kila saa.
Utaenda kuimba mbinguni sio😅😅, sema mtu akikuotea hapo church kam so wewe yaani ulivyobize kutukuza😅
 
Utaenda kuimba mbinguni sio[emoji28][emoji28], sema mtu akikuotea hapo church kam so wewe yaani ulivyobize kutukuza[emoji28]
Hahah!
Mungu namuimbia kila siku,popote anasikia.

Church nilikuwa nalead nyimbo mara chache Sana na mara nyingi ilikuwa worship songs.
 
Interesting
Saivi kwanini hu lead!! [emoji94] [emoji92]
Mtaani mambo yameingiliana, pia seriousness ya team ni ndogo..bado sijapata sehemu nzuri ya kusettle.
Hayo nilifanya nikiwa shule[emoji846]
 
Hakuna hata anayetafuta namba yangu? Au ndo hadi uwe na influence yoyote humu JF?

Ngoja nisubiri kam hakuna mi ntatafuta namba ya mtu flan hv yupo humu.
 
Namba ya polepole nani anayo?? isiwe ya kazi nataka private namba
 
Back
Top Bottom