Namba ya viatu inaweza kuonyesha umri wako

Namba ya viatu inaweza kuonyesha umri wako

piper

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2012
Posts
3,253
Reaction score
612
484654_340945462686822_1133336745_n.jpg
 
hivi hii theory ni kwa namba kama vile labda navaa kiatu 42 au ni lbda navaa namba 8?
 
upuuzi mtupu. unataka kujua age for what reason. Si umwulize mhusika badala ya kwenda kwenye hassle za namna hii. Acha hizo za kitoto member
 
Sasa kama unajua mwaka wa kuzaliwa kuna haja gan tena ya ku-calculate umri kwa kutumia namba ya kiatu?
 
Sasa kama unajua mwaka wa kuzaliwa kuna haja gan tena ya ku-calculate umri kwa kutumia namba ya kiatu?

wakimbia hesabu utawajua tu, hesabu chakula ya ubongO geuka wewe acha uvivu
 
Mi sijaona kitu cha ajabu hapo. Utatafutaje kitu unachokifahamu...? (yaani hakuna unknown hapo)
Ni sawa na mtu kusema tu kuwa unaweza kufahamu umri ulio nao kwa kufanya yafuatayo:
chukua mwaka wa sasa.toa mwaka uliozaliwa.
Namba uliyoipata ni sawa na umri wako. Hapo hakuna ubunifu,ni ubatili tu...
 
sidhan kama ni kweli maana unaweza kukuta mtoto mdogo wamiaka 10 lakini mguu kama wa mtu mzima vile
 
Nimejaribu imetoa jibu sahihi at last lakini naona haina kipya kwasababu unakuwa tayari umeshatoa namba ya kiatu na mwaka uliozaliwa kinachofanyika si muujiza kivile.
 
Hapo piper hana jipya maana tayari unajua mwaka wako wa kuzaliwa sasa formula ya nini? Hizo ni hesabu za kuchekesha watoto wa chekechea
 
Back
Top Bottom