Namba yako ya simu unayotumia sasa ulianza kuitumia mwaka gani?

Namba yako ya simu unayotumia sasa ulianza kuitumia mwaka gani?

2012
IMG_1381.jpeg
 
24/06/2016 baada ya kumaliza harakati flan iliyokua inanizuia kumiliki simu
 
Way back🤣

Umenikumbusha enzi ya vibanda vya simu, dakika 1 wanachaji sh 300 😆😆 hadi Soggy Dogg akatunga kibao maarufu cha “Kibanda cha simu”

Buzz ni bomba walikuwa na 0741 kabla ya kubadili na kuitwa tigo na kuja na 0714, 0713 nk

Anyway 2007 nilianza kutumia laini yangu pendwa hii

Kulikuwa na mtandao wa Tritel hii ni wachache watakuwa wanakumbuka, gusa like kama unaikumbuka Tritel
IMG_2941.jpeg
 
Back
Top Bottom