Namba yako ya simu unayotumia sasa ulianza kuitumia mwaka gani?

Namba yako ya simu unayotumia sasa ulianza kuitumia mwaka gani?

Nimeanza kutumia sim zikiwa analog no sim card mpk zikaja sim card..
Nmekumbuka Motorola yangu inaikunjua sema lilikuwa likubwa kama redio call
Nikawaga na Siemens C something model,ina antena ukiiwasha ina search ikiingia kwenye netwrk inapiga mshindo
Kelele,wakati huo ukishika sim unaonekana bab k

Ova
 
Voda April 2004 nikiwa Moshi enzi zile ilikuwa 0744 / 0745 waka change ikawa 0754 / 0755 though zile code za zamani zimerudi kutokana na wingi wa wateja (20 years)

Tigo August 2005, Ngudu, Kwimba nilikuwa na kazi ya wiki moja kipindi hicho tigo ndo ilikuwa mtandao pekee (19 years)
 
Back
Top Bottom