Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Hongera🤣2008
Mie angalau hii niliyonayo ndio nimedumu nayo. Nilikuwa nikijisikia tu, nabadili namba🙆
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera🤣2008
2006Mimi nilianza kuitumia mwaka 2008 enzi hizo unasajili bila NIDA na ndiyo laini yangu kuu mpaka leo yaani takribani miaka 16 sasa!
Ya kwako umeanza kuitumia mwaka gani?
Unakaa na laini miaka yote io ili iweje aseeee jifunze kubadilika kupata watu wapya na kuachana na wengine wasio na maana.Mimi nilianza kuitumia mwaka 2008 enzi hizo unasajili bila NIDA na ndiyo laini yangu kuu mpaka leo yaani takribani miaka 16 sasa!
Ya kwako umeanza kuitumia mwaka gani?
Kila Mwaka nabadilishiwa nambaMimi nilianza kuitumia mwaka 2008 enzi hizo unasajili bila NIDA na ndiyo laini yangu kuu mpaka leo yaani takribani miaka 16 sasa!
Ya kwako umeanza kuitumia mwaka gani?
Kata basi, kata wewe, buzz ni bomba. I think matangazo ya kipindi kile yalikua fresh.Vodacom 0744 ilikuwa 2005
Buzz yangu ya 0717 ni 2006 nliinunua kwa ajili ya ofa ya buzz kwenda buzz usiku bure kuanzia saa6 hadi 12, dah tulikesha tunabonga
Aaaaaah we mhenga babuuuKata basi, kata wewe, buzz ni bomba. I think matangazo ya kipindi kile yalikua fresh.
🤔🤔Watu mnstunza karatasi bado mpya😂Siku zinaenda kwa kweli , toka 2009View attachment 3079996
Tritel ilikuwa na cc640 nc01 ndio mtandao wa kwanza kusajiliwa hapa tz, mobitel ulikuwa wa pil kusajiliwa ukapata namba cc640 nc02, nc03 nafikir ni zantel, 04 vodacom 05 ni celtel baada ya hapo vurugu ikazidi akina sasatel walikuja wakapotea, sasatel alianza na masafa ya 3G pekee yaani hata kiswaswadu kiwe cha 3G, alikuja na tech kubwa kabla ya muda, yakamshindaWay back🤣
Umenikumbusha enzi ya vibanda vya simu, dakika 1 wanachaji sh 300 😆😆 hadi Soggy Dogg akatunga kibao maarufu cha “Kibanda cha simu”
Buzz ni bomba walikuwa na 0741 kabla ya kubadili na kuitwa tigo na kuja na 0714, 0713 nk
Anyway 2007 nilianza kutumia laini yangu pendwa hii
Kulikuwa na mtandao wa Tritel hii ni wachache watakuwa wanakumbuka, gusa like kama unaikumbuka TritelView attachment 3079985
Mnafukua makabuli ya enzi na enzi😂😂Tritel ilikuwa na cc640 nc01 ndio mtandao wa kwanza kusajiliwa hapa tz, mobitel ulikuwa wa pil kusajiliwa ukapata namba cc640 nc02, nc03 nafikir ni zantel, 04 vodacom 05 ni celtel baada ya hapo vurugu ikazidi akina sasatel walikuja wakapotea, sasatel alianza na masafa ya 3G pekee yaani hata kiswaswadu kiwe cha 3G, alikuja na tech kubwa kabla ya muda, yakamshinda
Mhmmm2008
Sema ukiwa form 1C we mujahidina.24/06/2016 baada ya kumaliza harakati flan iliyokua inanizuia kumiliki simu
Umeguna nini? Wakati jamaa anamiliki line ya simu we ulikuwa huchagui pa kunya.😀😃😄😁Mhmmm