Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Buzz ni bombaVodacom 0744 ilikuwa 2005
Buzz yangu ya 0717 ni 2006 nliinunua kwa ajili ya ofa ya buzz kwenda buzz usiku bure kuanzia saa6 hadi 12, dah tulikesha tunabonga
Buzz ni bomba
2007 ndio line pendwa natumaMimi nilianza kuitumia mwaka 2008 enzi hizo unasajili bila NIDA na ndiyo laini yangu kuu mpaka leo yaani takribani miaka 16 sasa!
Ya kwako umeanza kuitumia mwaka gani?