Namba yangu umepata wapi?

Asee kuhusu watoto aseeh kuna wakali kweli.

Kuna ile unamwona mtu unajikuta unajiona tayari umeshakuwa naye, kwa hiyo ukimwomba namba akakutosa akili inasimama kabisa kabisa.

Wakati mwingine unamwomba akikataa unasema to hell.
 
Kama hayuko huko


Kama unatumia mtandao kuweka data zako kama vile CV n.k. ambazo zikuelezea wasifu wako, ni rahisi watu kuzipata kwa kusearch tu!!! Kama unakwenda kwenye warsa (workshop nk) halafu ukajaza namba zako, hao organizers watazitunza kwenye mtandao na mtu mwingine anaweza zipata huko!!
 
Uligegeda kaka????
 
Mwanaume akaeshindwa kujibu ilo swali ni bora ubaki single maisha yako yote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…