Namba yangu umepata wapi?

Namba yangu umepata wapi?

Asee kuhusu watoto aseeh kuna wakali kweli.

Kuna ile unamwona mtu unajikuta unajiona tayari umeshakuwa naye, kwa hiyo ukimwomba namba akakutosa akili inasimama kabisa kabisa.

Wakati mwingine unamwomba akikataa unasema to hell.
 
Kama hayuko huko


Kama unatumia mtandao kuweka data zako kama vile CV n.k. ambazo zikuelezea wasifu wako, ni rahisi watu kuzipata kwa kusearch tu!!! Kama unakwenda kwenye warsa (workshop nk) halafu ukajaza namba zako, hao organizers watazitunza kwenye mtandao na mtu mwingine anaweza zipata huko!!
 
Mkuu hayo hayatakaa yaishe mkuu, na hilo ni swali gumu sana kujibu.

Siku moja nilikutana na dada mmoja mzuri sana Hospital, tumekaa nikajipendekeza tukaongea tu vizuri, nilipoomba namba akanitosa, bahati nzuri alitangulia yeye kwa daktari, mimi nikafuata baada yake, sasa bahati nzuri kwenye form zile kuna mahali pa kujaza namba, nikaview ile namba nikaiweka kichwani, nimetoka tu nikaisave.

Kesho yake nampigia kumuuliza anaendeleaje nikaulizwa hilo swali maana anakumbuka hakunipa, nikamweleza process yote ilivyokuwa hakukubali, ilibidi arudi hospital kumuuliza daktari kama alinipa namba, daktari akamwambia hakuna kitu kama hicho, thanks God, ile process nilivyoielezea ndo iliyoonesha kweli nilikuwa na nia ya dhati.
Uligegeda kaka????
 
Mwanaume akaeshindwa kujibu ilo swali ni bora ubaki single maisha yako yote
 
Back
Top Bottom