Scorpio Me
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 6,119
- 7,934
- Thread starter
-
- #61
[emoji23][emoji23]Nimetoka kuulizwa Hilo swali sasa hivi, Ila imebidi nitafute shida genuine ambayo iko mbali na tongozo baadae Ndio nimeanza mdogo Mdogo, hopefully weekend haitaisha kapa
I believe in you!tutafanya hiyo aisee ile mida maana sio kwa kunishtua huku
Duh.....! [emoji15] [emoji15]Kuna mmoja nilimuuliza akanijibu ameokota karatasi imeandikwa namba yangu
Mkuu yule mtoto alikuwa ni mzuri, kwanza moyo ulilipuka vile nilipomwona aisee.
Ni moja ya wanawake ambao nimeshindwa kuwareplace.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Daah wewee unapenda chini kinoma
Jamaa anapenda huko saana aseeh[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkuu ulifanikiwa kujua yaliyomo yamo ama
Maana ume hustle kishenzi kudukua izo namba
Lol, umenikumbusha a guy aliyepata nr yangu kwenye workshop. Alikuwa mmoja wa facilitators.
Yapo. Na nitazidi kuyafanya yawepo sana,Hivi yale mambo ya kuomba namba ya mdada ama kuitafuta bila yeye kukupatia bado yapo?
Imetulia hiiI stole it Because l badly needed to talk to u!
Huku kwetu hakuna vituo vya basi mzeeeSwagger ni moja tu
Me nakaza tu umenipa wewe mwenyew kuna siku tulikutana kituo cha mabasi tukaongea kwa muda mfupi ndo tukabadilishana namba
Akikataa ivyo namlazimisha ndo ivyo
Eeeh baada ya kujua kuwa ulikua na nia ya dhati kilichofuata?Mkuu hayo hayatakaa yaishe mkuu, na hilo ni swali gumu sana kujibu.
Siku moja nilikutana na dada mmoja mzuri sana Hospital, tumekaa nikajipendekeza tukaongea tu vizuri, nilipoomba namba akanitosa, bahati nzuri alitangulia yeye kwa daktari, mimi nikafuata baada yake, sasa bahati nzuri kwenye form zile kuna mahali pa kujaza namba, nikaview ile namba nikaiweka kichwani, nimetoka tu nikaisave.
Kesho yake nampigia kumuuliza anaendeleaje nikaulizwa hilo swali maana anakumbuka hakunipa, nikamweleza process yote ilivyokuwa hakukubali, ilibidi arudi hospital kumuuliza daktari kama alinipa namba, daktari akamwambia hakuna kitu kama hicho, thanks God, ile process nilivyoielezea ndo iliyoonesha kweli nilikuwa na nia ya dhati.