Namba yangu umepata wapi?

Namba yangu umepata wapi?

Nimetoka kuulizwa Hilo swali sasa hivi, Ila imebidi nitafute shida genuine ambayo iko mbali na tongozo baadae Ndio nimeanza mdogo Mdogo, hopefully weekend haitaisha kapa
[emoji23][emoji23]
 
Swagger ni moja tu

Me nakaza tu umenipa wewe mwenyew kuna siku tulikutana kituo cha mabasi tukaongea kwa muda mfupi ndo tukabadilishana namba

Akikataa ivyo namlazimisha ndo ivyo
 
Na mwingine anakwambia haez ongea kitu mpaka umwambie ulikoipata namba yake na ukimtaja mtu anaenda kumuamshia dude...na ww ndo bas tena
 
Kuna mwingine niliwahi kumwambia nimeitoa kwenye system alikubali sema alikua f4 leaver.
 
Swagger ni moja tu

Me nakaza tu umenipa wewe mwenyew kuna siku tulikutana kituo cha mabasi tukaongea kwa muda mfupi ndo tukabadilishana namba

Akikataa ivyo namlazimisha ndo ivyo
Huku kwetu hakuna vituo vya basi mzeee
 
Mkuu hayo hayatakaa yaishe mkuu, na hilo ni swali gumu sana kujibu.

Siku moja nilikutana na dada mmoja mzuri sana Hospital, tumekaa nikajipendekeza tukaongea tu vizuri, nilipoomba namba akanitosa, bahati nzuri alitangulia yeye kwa daktari, mimi nikafuata baada yake, sasa bahati nzuri kwenye form zile kuna mahali pa kujaza namba, nikaview ile namba nikaiweka kichwani, nimetoka tu nikaisave.

Kesho yake nampigia kumuuliza anaendeleaje nikaulizwa hilo swali maana anakumbuka hakunipa, nikamweleza process yote ilivyokuwa hakukubali, ilibidi arudi hospital kumuuliza daktari kama alinipa namba, daktari akamwambia hakuna kitu kama hicho, thanks God, ile process nilivyoielezea ndo iliyoonesha kweli nilikuwa na nia ya dhati.
Eeeh baada ya kujua kuwa ulikua na nia ya dhati kilichofuata?
 
Back
Top Bottom