Kwanza serikali huwa haitaki wazee wanataka vijana ambao watawatumia kwa mda mrefu hahaha utani tu jamaniNyie wazee energy yenu imepungua pia mmekua na experience kubwa ya kua jobless muendelee kufanya kazi za ujobless vijana wapewe kipaumbele
Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app