Namba za watu 6 zimekuwa targeted na Polisi ili kusikiliza Mawasiliano yao. Ya Heche ipo pia

britanicca

Platinum Member
Joined
May 20, 2015
Posts
18,261
Reaction score
48,864
Mnaofanya kazi kwenye mitandao ya simu ama TTCL, Airtel , Yass, Vodacom mnaelewa nachosema

Wanafanya switching codes namba Yako inakuwa hewan Lakin simu unashangaa hupigiwi kumbe frequent calble ziko barged into another receiver ! Wote wanaokupigia zinapita Ila wewe hufikiwi wanapokea kusikiliza au wanajua nani hasa kapiga na nani frequently na kwa nia gani

Mwingine ambaye yake wamei Fanya hivo ni ya Boniphace Jacob


Britanicca
 
Nadhani CCM wamekosa mbinu sasa. Asa heche si atasema wasimpigie
 
Muongo mbobezi!
 
wewe ukiongea kitu ni uhakika
 
Kwenye kipindi kigumu kama hiki cha maridhiano yao FEKi bado wanaendelea kuharibu, asee huyu Rais wa sasa ni kilaza wa aina gani, hata kipindi cha uchaguzi alionywa kutowatendea vibaya raia ambao ndio wapiga kura wake lakini ndio hayo kama tulivyoona.

Samia na genge lake hawamaanishi kuyataka maridhiano bali wameshurutishwa na hizi kelele kila kona za lawama hivyo ili kupooza huu moto wanajifanya kuja na mipango yao ambayo ni mibovu na wanaendelea kuharibu.

Nitashangaa kuona maridhiano yanakubalika na wasiopenda maovu, ilihali bado kuna Mienendo ya mauwaji na utekaji wa waziwazi ukiendelea.

Tuukate uongozi wa Samia na magenge yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…