Sasa kama wamefanya hivyo watakuwa wajinga basi maana watu kama heche au viongozi wote wa chadema nauhakika kama wanataka kuwasilianabkwa jambo lolote la chama au siasa au hata kupashana habari wanatumia WhatsApp call ambayo ni secured kwa hapa kwetu hakuna mjinga ataweza kuidukua .Mnaofanya kazi kwenye mitandao ya simu ama TTCL, Airtel , Yass, Vodacom mnaelewa nachosema
Wanafanya switching codes namba Yako inakuwa hewan Lakin simu unashangaa hupigiwi kumbe frequent calble ziko barged into another receiver ! Wote wanaokupigia zinapita Ila wewe hufikiwi wanapokea kusikiliza au wanajua nani hasa kapiga na nani frequently na kwa nia gani
Mwingine ambaye yake wamei Fanya hivo ni ya Boniphace Jacob
Britanicca
Na bado wanaamini chadema na TEC ndo wako nyuma GenZ wangejua 😂😂CCM wameumia sana chadema kutokushiliki uchaguzi
Nini hatma?Mnaofanya kazi kwenye mitandao ya simu ama TTCL, Airtel , Yass, Vodacom mnaelewa nachosema
Wanafanya switching codes namba Yako inakuwa hewan Lakin simu unashangaa hupigiwi kumbe frequent calble ziko barged into another receiver ! Wote wanaokupigia zinapita Ila wewe hufikiwi wanapokea kusikiliza au wanajua nani hasa kapiga na nani frequently na kwa nia gani
Mwingine ambaye yake wamei Fanya hivo ni ya Boniphace Jacob
Britanicca
Haisaidii kitu.Mnaofanya kazi kwenye mitandao ya simu ama TTCL, Airtel , Yass, Vodacom mnaelewa nachosema
Wanafanya switching codes namba Yako inakuwa hewan Lakin simu unashangaa hupigiwi kumbe frequent calble ziko barged into another receiver ! Wote wanaokupigia zinapita Ila wewe hufikiwi wanapokea kusikiliza au wanajua nani hasa kapiga na nani frequently na kwa nia gani
Mwingine ambaye yake wamei Fanya hivo ni ya Boniphace Jacob
Britanicca
Naomba nikuulize tu kwa heshima nyingi kwako, mkuu 'champion', unisaidie tu mfano mmoja wa jambo lolote alilohusika nalo Samia na kuahidi juu ya jambo hilo ambalo kweli ahadi zake zilitimizwa vizuri kabisa bila ya chenga chenga zozote.Kwenye kipindi kigumu kama hiki cha maridhiano yao FEKi bado wanaendelea kuharibu, asee huyu Rais wa sasa ni kilaza wa aina gani, hata kipindi cha uchaguzi alionywa kutowatendea vibaya raia ambao ndio wapiga kura wake lakini ndio hayo kama tulivyoona.
Samia na genge lake hawamaanishi kuyataka maridhiano bali wameshurutishwa na hizi kelele kila kona za lawama hivyo ili kupooza huu moto wanajifanya kuja na mipango yao ambayo ni mibovu na wanaendelea kuharibu.
Nitashangaa kuona maridhiano yanakubalika na wasiopenda maovu, ilihali bado kuna Mienendo ya mauwaji na utekaji wa waziwazi ukiendelea.
Tuukate uongozi wa Samia na magenge yake.
EEEnHEEE1Hao wengine wanne usiowataja ni akina nani? Au na wewe umeamua kula pini?
Hiyo video ipo wapi?Baada ya kuona ile video ya walinzi wa Samia wakitambaa na magoti ikulu kwa kumsujudu hatuna serikali.
😀 😀wanajaribu kuzuia mafuriko kwa mkonoMapongo washafika kupausha ujumbe.