KuniMbichi
JF-Expert Member
- Aug 24, 2019
- 249
- 359
.Telegram na Signal tu
.Telegram na Signal tu
Kama ni kweli basi ni HATARIBaada ya kuona ile video ya walinzi wa Samia wakitambaa na magoti ikulu kwa kumsujudu hatuna serikali.
ikifika hiyo siku tutakuona humu JF.Hii nchi imeshakuwa na mambo ya ajabu sana. Dec 9 tutatoka kwa wingi Sana.
Naomba kuona hiyo video mkuu 🙏🏿Baada ya kuona ile video ya walinzi wa Samia wakitambaa na magoti ikulu kwa kumsujudu hatuna serikali.
Kama ni kweli basi ni HATARI
Kuna LIG server zipo TCRA(Google maana ya LIG) ambazo zipo linked na mitandao yote ya simu ,ipo configured so wanachofanya namba zao zinakuwa routed kwenda TCRA kwenye hiyo LIG Server kwa ajili ya kutunza mazungumzo yao voice ,sms,emails na sites wanazotembelea kwa upande wa data.Mnaofanya kazi kwenye mitandao ya simu ama TTCL, Airtel , Yass, Vodacom mnaelewa nachosema
Wanafanya switching codes namba Yako inakuwa hewan Lakin simu unashangaa hupigiwi kumbe frequent calble ziko barged into another receiver ! Wote wanaokupigia zinapita Ila wewe hufikiwi wanapokea kusikiliza au wanajua nani hasa kapiga na nani frequently na kwa nia gani
Mwingine ambaye yake wamei Fanya hivo ni ya Boniphace Jacob
Britanicca
Nafanya nini?ikifika hiyo siku tutakuona humu JF.