SoNotorious
JF-Expert Member
- Sep 11, 2011
- 2,422
- 859
Ni kwa namna gani hiki ni kijarida cha kufungia maandazi mkuu?
You can not verify its authenticity.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kwa namna gani hiki ni kijarida cha kufungia maandazi mkuu?
Sawa nina kiherehere na ndicho kinachonifanya nikuhoji........
Wayahudi wanaozungumzwa kwenye Biblia na Quran walikua wanaishi wapi?
Yesu alifanya huduma yake nchi gani?
Mkuu,
Judaism ni dini hilo halina ubishi na mtu mwingine yoyote akiaingia kwenye dini hiyo anakuwa ni Myahudi kwa maana ya imani yake
Waisraeli ni race ambayo iliwahi kuwa na taifa lake,hiyo iko wazi kabisa,lakini miongoni mwa hao Waisraeli wamo Wayahudi ambao ni watoto wa Yuda,kwa maana hiyo Waisraeli wote wakiwemo na Wayahudi [watoto wa Yuda] ni Waisraeli kwa maana kuwa ni watoto wa Jacob ambae alikuja kubadilishwa jina na Mungu na kuitwa Israeli
Lakini pia kuliwahi kuwepo na nchi iliyoitwa Yuda [Judea] ambayo ni nchi iliyokuwa inaundwa na baadhi ya watoto wa Israeli [Jacob] ambao wametokana na watoto wawili wa Jacob ambao ni Benjamin na Yuda
Kwa maana hiyo ukisema Wayahudi sio race unakuwa hauko sahihi,lakini ukikana kuwa Uyahudi sio dini unakuwa haupo sahihi pia,vyote viwili ni sawa!
"And [remember] when Moses said to his people: 'O my people, call in remembrance the favour of God unto you, when he produced prophets among you, made you kings, and gave to you what He had not given to any other among the peoples. O my people, enter the Holy Land which God has assigned unto you, and turn not back ignominiously, for then will ye be overthrown, to your own ruin.'" [Qur'an 5:20-21]
Tell me, which land was this?
Mkuu, Not beyond Wikipedia and some googles etc. Please tupe shule kuhusu huyu Jenerali.
Why are you not answering my questions. You wanted a verse from the Quran I gave you. All you need is to tell us now, which land is this.Allahu Akbar, Allahu Akbar, Allahu Akabar
Naam, hiyo ndiyo Qur'an.
Why are you not answering my questions. You wanted a verse from the Quran I gave you. All you need is to tell us now, which land is this.
Wayahudi si taifa ni kama vile kusema Wakristo au Waislam au Mabuddha au Wapagani.
Wametapakaa sehemu mbali mbali ulimwenguni, kwingine wako wengi, kwingine wako kidogo, kwingine hawapo kabisa.
I am not talking about Moses, I am talking about Israelis. You are bussy arguing about Moses who did not enter the promise land. We know that.Here is the answer, cant you read?
Allahu Akbar, Allahu Akbar, Allahu Akabar
Naam, hiyo ndiyo Qur'an.
Sasa wewe nieleze, unaikataa Bibilia leo? isome:
Deuteronomy 34:1-8
1 Then Moses climbed Mount Nebo from the plains of Moab to the top of Pisgah, across from Jericho. There the LORD showed him the whole land-from Gilead to Dan,
2 all of Naphtali, the territory of Ephraim and Manasseh, all the land of Judah as far as the western sea,
3 the Negev and the whole region from the Valley of Jericho, the City of Palms, as far as Zoar.
4 Then the LORD said to him, "This is the land I promised on oath to Abraham, Isaac and Jacob when I said, 'I will give it to your descendants.' I have let you see it with your eyes, but you will not cross over into it."
5 And Moses the servant of the LORD died there in Moab, as the LORD had said.
6 He buried him in Moab, in the valley opposite Beth Peor, but to this day no one knows where his grave is.
7 Moses was a hundred and twenty years old when he died, yet his eyes were not weak nor his strength gone.
8 The Israelites grieved for Moses in the plains of Moab thirty days, until the time of weeping and mourning was over.
FaizaFoxy acha kudanganya watu toka lini wayahudi ikawa kama dhehebu. Wayahudi ni watu na wana madhehebu mengi tu wapo waislam, wakristu na hata wapagani wapo
I am not talking about Moses, I am talking about Israelis. You are bussy arguing about Moses who did not enter the promise land. We know that.
NOW BACK TO MY QUESTION:
"And [remember] when Moses said to his people: 'O my people, call in remembrance the favour of God unto you, when he produced prophets among you, made you kings, and gave to you what He had not given to any other among the peoples. O my people, enter the Holy Land which God has assigned unto you, and turn not back ignominiously, for then will ye be overthrown, to your own ruin.'" [Qur'an 5:20-21]
Tell me, which land was this?
Ha ha ha ha, KUMBE QURAN NI MANENO YA MUSA NA SIO YA ALLAH.Look at the verse you have quoted and highlighted, cant you read? who is speaking those words? "...Moses said..."
Hata mimi simjui Mkuu though katika pitapita zangu nishakutana na hiyo barua aliyomwandikia huyo buruda kama inavyoonekana kwenye hiyo video clip umepost humu.
Nilijaribu kumsoma na nikashusha kile kitabu chake cha Morals & Dogma ila kilinikata stimu baada ya kujua kimeandikwa kwa codes na maalumu kwa ajili Masons
Nilidhani utakua na info zaidi za huyu jamaa maana inaonesha alikua anajua kuhusiana na matukio yaliyotokea miaka mingi baada ya kifo chake hususani hili la Wazayuni na WW1 & WWII