Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,891
Mkuu mi sielewi kama nachangaya au la. Kuna WAYAHUDI (yaani uzao wa mtoto wa Yakobo-Judah; pia wafuasi wa Judaism) kisha kuna Isrealites. Kwa mfano Nabii Musa alikuwa an Israelite. Sio sahihi kumwita a Jew, hata Abraham sijaona akiandikwa kama a Jew. Ukisema Israelites unamaanisha TAIFA na hususan a particular RACE of people (Kama Lembas of south africa, bantus, falashas etc) ambao walipata exceptional favours toka kwa M/Mungu. Mtu anaweza aka-convert akawa muumini wa Judaism na hence kuwa a JEW. Lakini hawezi kuwa an Israelite. kwa sasa huo uzao wa Yudah Unaleta utata sana kuu trace? ndipo nadhani dominantly Ukisema Jew, wengi wana-refer Yule anayefuata Judaism. Sio lazima awe an ISRAELITE (kwa mfano hawa Khazars Jews kama kina Shimon Peres au Netanyahu)
Kwa maana hii ya mwisho ndipo nadhani wewe na FaizaFoxy mnapotofautiana. Faiza anatumia Jew kama mfuasi wa Judaism, wewe unatumia Jew kama Israelite.
Mkuu,
Judaism ni dini hilo halina ubishi na mtu mwingine yoyote akiaingia kwenye dini hiyo anakuwa ni Myahudi kwa maana ya imani yake
Waisraeli ni race ambayo iliwahi kuwa na taifa lake,hiyo iko wazi kabisa,lakini miongoni mwa hao Waisraeli wamo Wayahudi ambao ni watoto wa Yuda,kwa maana hiyo Waisraeli wote wakiwemo na Wayahudi [watoto wa Yuda] ni Waisraeli kwa maana kuwa ni watoto wa Jacob ambae alikuja kubadilishwa jina na Mungu na kuitwa Israeli
Lakini pia kuliwahi kuwepo na nchi iliyoitwa Yuda [Judea] ambayo ni nchi iliyokuwa inaundwa na baadhi ya watoto wa Israeli [Jacob] ambao wametokana na watoto wawili wa Jacob ambao ni Benjamin na Yuda
Kwa maana hiyo ukisema Wayahudi sio race unakuwa hauko sahihi,lakini ukikana kuwa Uyahudi sio dini unakuwa haupo sahihi pia,vyote viwili ni sawa!