ngozimbili
JF-Expert Member
- Jul 28, 2011
- 1,398
- 1,012
Nenda youtube andika six milion jews refence in ten news papers btn 1915-1938 utauona mchezo wote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo ni uwongo mtakatifu, ulichoandika ni irrelevant and purely nonsense! Wayahudi wana utamaduni wao na lugha yao moja toka asili kihebrania, hebu niambie lugha inayozungumzwa na wakristo wote duniani na utamaduni wa wakristo! Je waislam lugha yao ni ipi? Kila myahudi aliezaliwa nchi yoyote duniani inajulikana kuwa lugha yake ya asili ni kihebrania, je kila muislam au mkristo aliezaliwa popote duniani lugha yake ya asili ni ipi!? Ukitaka kuchambua wayahudi na taifa lao israel utachanganyikiwa! Ndio maana ndani ya bible israel inaitwa taifa teule. Waacheni hao watu na ndugu yake mpalestina hawajaanza kupigana leo, ni toka enzi hizo za before christ! Na mgogoro wao utakuwa unsolved till dooms day,so the bible says!
Rais mstaafu wa Iran Ahmedinajad alishawahi kuitisha mkutano ulioitwa "Review of the Holocaust: Global Vision," aliwakusanya wana historia na wasomi kutoka nchi mbali mbali duniani kuhusu suala hili la mauaji ya kimbari ya Wayahudi.
Ikaonekana kuwa haya mauaji ya Wayahudi ni uongo wa mataifa makubwa kushinikiza kuanzishwa nchi mpya ya Israel huko Palestina.
hapo nikuhoji mkuu. umesema wakristo, okey. vip mtu anaposema "waanglicana?"- Anglicans. hawa si niwaumini na dini yauingereza? si wananchi yao england?
usiseme "wakristo" tu kutaka ku'generalize ili mantiki yako ikubali hapo.
Huo uongo ulipangwa lini,wapi na akina nani?
Kwa hiyo kila Muanglikana ni Mwingereza? Kila Mlutheri ni Mjerumani? Kila Mroman Catholic ni Mrumi?
Usitake kuchekechesha watu saa hizi.
Ok!
So as for you unadhan "WABUDHA" ni wachina peke yao? "HINDU" ipo india pekee?(hata hapa Bongo kuna watanzania wa kawaida ni waumini wa dini hii).
Kuna people dini yao ni WAYAHUDI lakini are not JEWS and they do not relate to Israel.
Ustake kutuchekesha tafadhari!
Israel imeanzishwa mwaka 1948 kabla ya hapo ilikuwa hakuna Israel. Na hapo walipoianzisha ni kwa Wapelestina. Walishafikiria Kuianzisha Uganda for your information.
Kabla ya "hapo" unamaana gani?
Unamaana hakukuwahi kuwepo na nchi inayoitwa Israeli kabla ya mwaka 1948?
Wewe hii mada unaonesha umekurupuka, hebu pitia nyuzi uisome vizuri, hayo unayoyasema yote yashaelezewa humu.
Soma kisha urudi na mapya si hayo.
Katazame swali nililolijibu wacha kiherehere.
Hakukuwahi kuwepo na nchi inayoitwa Israel kabla ya 1948.
Mkuu kipindi Muhammad amekuja, Wayahudi walikuwa wamekwisha tawanyika tawanyika...Sawa nina kiherehere na ndicho kinachonifanya nikuhoji........
Wayahudi wanaozungumzwa kwenye Biblia na Quran walikua wanaishi wapi?
Yesu alifanya huduma yake nchi gani?
Kabla ya "hapo" unamaana gani?
Unamaana hakukuwahi kuwepo na nchi inayoitwa Israeli kabla ya mwaka 1948?
Mkuu kipindi Muhammad amekuja, Wayahudi walikuwa wamekwisha tawanyika tawanyika...
Mkuu, nadhani hii ramani itatoa msaada katika mazungumzo yenu
![]()
https://www.google.iq/search?q=isra...ians%2520Parables%2520of%2520Zion.htm;809;539
cc FaizaFoxy,
Sawa,lakini si walikuwa na nchi yao?
Waliwajuaje kama hawa ni wayahudi?
Walitokea hewani tu?