Namba zinakataa: Hitler alipata wapi wayahudi milioni sita?

Nenda youtube andika six milion jews refence in ten news papers btn 1915-1938 utauona mchezo wote
 

Hapana si kweli kuwa Wayahudi wote wanaongea Kihebrania. Hapana Hapana Hapana. Karudie upya kujisomea.

Hebrew language - Wikipedia, the free encyclopedia
 

Huo uongo ulipangwa lini,wapi na akina nani?
 
hapo nikuhoji mkuu. umesema wakristo, okey. vip mtu anaposema "waanglicana?"- Anglicans. hawa si niwaumini na dini yauingereza? si wananchi yao england?

usiseme "wakristo" tu kutaka ku'generalize ili mantiki yako ikubali hapo.

Kwa hiyo kila Muanglikana ni Mwingereza? Kila Mlutheri ni Mjerumani? Kila Mroman Catholic ni Mrumi?

Usitake kuchekechesha watu saa hizi.
 
Vita ya pili ya dunia na kusuginwa kwa wayahudi huko ulaya ni vitu viwili tofauti.
Wakati vita hii ime hilikisha zaidi ya roho 100m ambapo warusi pekee walipiteza 20m lakini mara baada ya vita ili kupata sababu ya kuwapeleka wazungu wafuasi wa uyahudi palestine propaganda ikafanywa as kama vita yote ilikuwa ni dhidi ya wayahudi.
Wayahudi waliteswa kwa vile hawakuwa wazalendo kwa nchi zao wanazoishi.
Japo hawakuwa na nchi yao wenyewe lakini walikua ni majeuri na wabinafsi hivyo wakati wa vita walionekana ni hatari kwa usalama wa nchi za ulaya.
Walikusanya sehemu maalum ili wasilete fitna.
Huko wakafa kwa njaa.
Na wale walo shirikiana na hitler wali ukata.
Wachache walikufa kama wahanga wa vita.
Ile kansa walo iondoa ulaya wazungu wameipandikiza mashariki ya kati.
Kirusi hichi sasa ni tatizo na kuna siku watalipa kwa wajarumani
 
Labda kwa mwenye muda siyo mbaya akimsikiliza Adolf Hitler nini kilimpeleka hadi akatumbukia kwenye mkasa uliokwisha pangwa many years before. Fuatilia kauli za Ahmadenijad (former president of iran), kisha mbinu za kugombanisha dini kuu mbili duniani









cc crabat, Eiyer, Mkuu wa chuo,
 
Last edited by a moderator:
Kwa hiyo kila Muanglikana ni Mwingereza? Kila Mlutheri ni Mjerumani? Kila Mroman Catholic ni Mrumi?

Usitake kuchekechesha watu saa hizi.



Ok!
So as for you unadhan "WABUDHA" ni wachina peke yao? "HINDU" ipo india pekee?(hata hapa Bongo kuna watanzania wa kawaida ni waumini wa dini hii).

Kuna people dini yao ni WAYAHUDI lakini are not JEWS and they do not relate to Israel.

Ustake kutuchekesha tafadhari!
 

Wewe hii mada unaonesha umekurupuka, hebu pitia nyuzi uisome vizuri, hayo unayoyasema yote yashaelezewa humu.

Soma kisha urudi na mapya si hayo.
 
Israel imeanzishwa mwaka 1948 kabla ya hapo ilikuwa hakuna Israel. Na hapo walipoianzisha ni kwa Wapelestina. Walishafikiria Kuianzisha Uganda for your information.

Kabla ya "hapo" unamaana gani?

Unamaana hakukuwahi kuwepo na nchi inayoitwa Israeli kabla ya mwaka 1948?
 
Kabla ya "hapo" unamaana gani?

Unamaana hakukuwahi kuwepo na nchi inayoitwa Israeli kabla ya mwaka 1948?

Katazame swali nililolijibu wacha kiherehere.

Hakukuwahi kuwepo na nchi inayoitwa Israel kabla ya 1948.
 
Please watch and Listen. [h=1]A Jew David Cole Interviews Dr. Franciszek Piper at Auschwitz and Exposes a Fraud[/h]



 
Last edited by a moderator:
Wewe hii mada unaonesha umekurupuka, hebu pitia nyuzi uisome vizuri, hayo unayoyasema yote yashaelezewa humu.

Soma kisha urudi na mapya si hayo.

Sasa kama ushaona watu wameelezea yote hayo,unakuwaje mgumu kuelewa kias hicho?

Mimi najaribu kusisitiza na kuongeza machache tu hapo. Lakini naona umekuwa conservative kuliko kawaida.
POLE!
 
Katazame swali nililolijibu wacha kiherehere.

Hakukuwahi kuwepo na nchi inayoitwa Israel kabla ya 1948.

Sawa nina kiherehere na ndicho kinachonifanya nikuhoji........

Wayahudi wanaozungumzwa kwenye Biblia na Quran walikua wanaishi wapi?

Yesu alifanya huduma yake nchi gani?
 
Sawa nina kiherehere na ndicho kinachonifanya nikuhoji........

Wayahudi wanaozungumzwa kwenye Biblia na Quran walikua wanaishi wapi?

Yesu alifanya huduma yake nchi gani?
Mkuu kipindi Muhammad amekuja, Wayahudi walikuwa wamekwisha tawanyika tawanyika...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…