Namba zinanuka: Naunga mkono TANESCO ifumuliwe, na ikiwezekana ibinafsishwe kabisa, Makamba yupo sahihi 100000%. TANESCO ni janga

Wapigaji kwa mujibu wa nani? Magufuli ?
Waulize chadema ile ya kabla ya 2015 siyo hii ya baada ya Gwajima kuwa mshenga wa kumleta Lowasa
 
Mwenzio kaweka takwimu ila wewe umeweka blah blah..
.
Inawezekana ukie m quote yuko sahihi kwamba labda unachukia sababu alikuchulia wife
 
Hata kwa macho ya kawaida yasiyohitaji kuumiza kichwa..TANESCO ya mwendazake IMEOZA.

JMakamba ana mzigo mzito sana, akijichanganya na Siasa kwenye hii reformations anayotegemea kuifanya amekwenda na Maji.
Simple ,
Kwa miaka mitano umeme haujawahi kukatika ,Makamba na Samioa, umeme unakatika kila siku.
Nani bigger brain?
Nani zero brain?
kwa nini wenzako aliweza?
 
Simple ,
Kwa miaka mitano umeme haujawahi kukatika ,Makamba na Samioa, umeme unakatika kila siku.
Nani bigger brain?
Nani zero brain?
kwa nini wenzako aliweza?
Kipindi Kalemani anatoa order mashine zirudi na kulikuwa na upungufu kwenye Grid zaidi ya 200MW kilikuwa kipindi cha nani?
Umeme kukatika haiepukiki as long as miundombinu ya TANESCO 99% ni overhead upande wa Distribution na Transmission.
Soma Engineering uelewe.
 
Hapo hujaonyesha big brain.
Big brain umeme haukatwi katwj.
 
Ongezea kuwa Gharama ya mita kutoka kwa supplier wa TANESCO ni Tshs. 168,000/=, waya mita Moja ni elfu 23 ukipiga kuunganisha umeme kwa mtu asie na nguzo ni Tshs. 290,000/= leo hii unaunganisha umeme kwa Tshs. 27,000/= tena kwa Mtu anayetaka kukaa kwenye Tarrif D1 ili anunue unit Moja kwa Tshs.100 sasa unategemea investment returns itakuja na hapa hauoni kama TANESCO Inapata hasara.

Vile vile Service charge,ni gharama ambazo zinachajiwa na nchi zote duniani kasoro Tz tu.

Acheni maneno wafanyakazi wa TANESCO wanajitahidi aisee.

Ukiangalia Dar es salaam njia za usambazaji umeme peke yake ni Kilometres elfu 36 na bado umeme ukikatika wanafuatalilia tatizo na kutatua.
 
Hahaha sasa unasema haikusanyi mapato vizuri afu unawadai ZANZIBAR,UNAWADAI JWTZ,UNAWADAI HOSPITAL YA TAIFA YA MUHIMBILI NA HOSPITAL ZOTE,UNADAI MAHAKAMA,UNADAI WIZARA ZOTE,UNADAI TAASISI ZOTE ZA MAJI,UNADAI MAGEREZA NA POLISI. sasa unashauri wakakate umeme ili walipwe mapato my dear the moment wakifanya hivyo hao waliofanya hawatakuwa na ajira
 
Mzee umeme ukikatika technojia hiyo ya kugundua tatizo lipo wapi sio level za tanesco aisee maana hii inahitaji uwekezaji mkubwa na hapa unazungumzia kilomtres za mfumo wa usambazaji wa umeme sasa kama Dar pekee ina km 36 elfu huo mfumo kwa nchi zima unakuwaje maana hapo ni kwa line za 11kv, 33kv na 66kv. Hahaha hizo ni doto bro
 
Mimi nijibu 'Heading' tu ya mada yako.

Kwa vile kwa upande wako unaona kila kitu kinastahili "kubinafsishwa" kwamba ndiyo dawa ya kila tatizo uliwazalo; mimi nakusihi tokea leo achana na hivi vishirika uchwara vya TANESCO.
Nakusihi na kukutia mori kabisa "TUBINAFSISHE"SEHEMU INAYOTAKIWA KUBINAFSISHWA HASA: Binafsisha Liserikali lenyewe kabisa; kwani huko ndiko penye matatizo, na kwa maoni yangu, ndiko yanakoanzia matatizo ya mashirika kama TANESCO.

Sijui wewe mwenzangu unasemaje!


Nitashangaa sana kama hutaunga mkono wazo hili.
 
Shirika lina wa endeshaji wazembe kwel kweli
Kwa mfano nimetoa ripoti ya mwizi wa umeme/muhujumu uchumi lakini hawa watu hawana hata ushirikiano nadhani kwa sasa ni kama miaka 3 lakini mwizi anajinafasi zaidi hata miaka isiyo pungua misaba (7), mwisho wa siku utasikio oooh shirika linaendeshwa kwa hasara, nonsense kabisa . Kuna vitu vina kera hapa bongo[emoji34]
 
Niliongea hichi kitu zaidi ya mwaka mmoja uliopita. Tatizo tunaloliona kwa sasa la mgao wa umeme ni Inefficiency ya shirika la umeme kwenye kuzalisha umeme.

Shirika lina assets nyingi sana ambazo hazipo productive.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…