Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Waulize chadema ile ya kabla ya 2015 siyo hii ya baada ya Gwajima kuwa mshenga wa kumleta LowasaWapigaji kwa mujibu wa nani? Magufuli ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waulize chadema ile ya kabla ya 2015 siyo hii ya baada ya Gwajima kuwa mshenga wa kumleta LowasaWapigaji kwa mujibu wa nani? Magufuli ?
Mwenzio kaweka takwimu ila wewe umeweka blah blah..Namkumbuka Magufuli kwa takwimu za 'kupika' tu.
Kupika takwimu na kuwaaminisha wananchi wako ni sifa ya mtawala anayependa kuabudiwa na kusifiwa. Hii ilikuwa kwa Shujaa tu.
Na ndio maana alikuwa hapendi kuchunguzwa (refer takwimu za CAG, na kilichomtokea Mdhibiti) katika taasisi zake.
Wapigaji wa Tanesco huwajui? Magufuli wapi na wapi mmesahau Mara hii! Si seti kaachiwa juzi tu.Wapigaji kwa mujibu wa nani? Magufuli ?
Simple ,Hata kwa macho ya kawaida yasiyohitaji kuumiza kichwa..TANESCO ya mwendazake IMEOZA.
JMakamba ana mzigo mzito sana, akijichanganya na Siasa kwenye hii reformations anayotegemea kuifanya amekwenda na Maji.
Kipindi Kalemani anatoa order mashine zirudi na kulikuwa na upungufu kwenye Grid zaidi ya 200MW kilikuwa kipindi cha nani?Simple ,
Kwa miaka mitano umeme haujawahi kukatika ,Makamba na Samioa, umeme unakatika kila siku.
Nani bigger brain?
Nani zero brain?
kwa nini wenzako aliweza?
Hapo hujaonyesha big brain.Kipindi Kalemani anatoa order mashine zirudi na kulikuwa na upungufu kwenye Grid zaidi ya 200MW kilikuwa kipindi cha nani?
Umeme kukatika haiepukiki as long as miundombinu ya TANESCO 99% ni overhead upande wa Distribution na Transmission.
Soma Engineering uelewe.
Ongezea kuwa Gharama ya mita kutoka kwa supplier wa TANESCO ni Tshs. 168,000/=, waya mita Moja ni elfu 23 ukipiga kuunganisha umeme kwa mtu asie na nguzo ni Tshs. 290,000/= leo hii unaunganisha umeme kwa Tshs. 27,000/= tena kwa Mtu anayetaka kukaa kwenye Tarrif D1 ili anunue unit Moja kwa Tshs.100 sasa unategemea investment returns itakuja na hapa hauoni kama TANESCO Inapata hasara.1. Form za maombi ya kuunganishiwa umeme ziliondolewa tukashangilia
2. Service charge ziliondolewa tukashangilia.
3. Service line cost zilishushwa mpaka Tsh 320,900/= kwa single phase ndani ya mita 30 tukashangilia.
4. Service line cost zimeshushwa mpaka Tsh 27,000/= kwa wateja walio na umbali mpaka mita 120 tukashangilia.
5.Gharama za uzalishaji kila siku zinapanda
Kutokana na hayo hapo juu mnategemea TANESCO ifanye vizuri?
Tunapenda vitu cheap na ndio maana matatizo ni mengi.
Hahaha sasa unasema haikusanyi mapato vizuri afu unawadai ZANZIBAR,UNAWADAI JWTZ,UNAWADAI HOSPITAL YA TAIFA YA MUHIMBILI NA HOSPITAL ZOTE,UNADAI MAHAKAMA,UNADAI WIZARA ZOTE,UNADAI TAASISI ZOTE ZA MAJI,UNADAI MAGEREZA NA POLISI. sasa unashauri wakakate umeme ili walipwe mapato my dear the moment wakifanya hivyo hao waliofanya hawatakuwa na ajiraMatumizi na mapato kulingana, ni either haukusanyi vizuri mapato au unatumia vibaya unachopata.
Kwa issue ya Tanesco ni kwamba hawakusanyi vizuri, ilipaswa wakusanye zaidi ya hiyo 1.8T. bado Hadi leo Kuna taasisi nyingi za serikali zinatumia umeme bure.
Fikiria tu Zanzibar umeme wao unatoka bara, Ila wanachokusanya kinabaki hukohuko.
Kuna mwaka jiwe alikuja na amri ya KATA, Yani kwa kila wanaodaiwa wakatiwe umeme. Uliibuka mgogoro mkubwa sana Kati ya Zanzibar na jiwe. Shein hakupenda Hilo suala.
Hivyo tulikosea tokea zamani, kutoka hapa tulipo sio kazi ndogo. Maana kuwaambia wote wanaodaiwa walipe na zile taasisi ambazo hazilipi umeme zianze kulipa sio kazi ndogo.
Mzee umeme ukikatika technojia hiyo ya kugundua tatizo lipo wapi sio level za tanesco aisee maana hii inahitaji uwekezaji mkubwa na hapa unazungumzia kilomtres za mfumo wa usambazaji wa umeme sasa kama Dar pekee ina km 36 elfu huo mfumo kwa nchi zima unakuwaje maana hapo ni kwa line za 11kv, 33kv na 66kv. Hahaha hizo ni doto broKwenye viongozi wote wa Tanesco ambao ni mainjinia ukose mmoja wa kumpandisha awe CEO?!! Huu uteuzi mzima umebebwa na ile hoja ya mimi kama Waziri sitaki kupigiwa simu kuna nguzo imeanguka Kigamboni. Mfumo wa kidigitali kugundua fault ilipo ambao inawezekana Tanesco wataununua. Wala usishangae wakina maxmanini wakipewa tena kandarasi za kutuuzia LUKU.
Nimekuwa nikitafiti mwenendo wa performance wa shirika letu la umeme kwa muda mrefu, ila sikuweza kufanikiwa kupata takwimu kwa wakati. Nikimaanisha takwimu za kifedha za shirika letu hili. Nashukuru Mungu leo wameweka taarifa za kifedha na nimeweza kuendelea na utafiti wangu.