Namba zinanuka: Naunga mkono TANESCO ifumuliwe, na ikiwezekana ibinafsishwe kabisa, Makamba yupo sahihi 100000%. TANESCO ni janga

Naanto Mushi

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
6,236
Reaction score
15,677
Nimekuwa nikitafiti mwenendo wa performance wa shirika letu la umeme kwa muda mrefu, ila sikuweza kufanikiwa kupata takwimu kwa wakati. Nikimaanisha takwimu za kifedha za shirika letu hili. Nashukuru Mungu leo wameweka taarifa za kifedha na nimeweza kuendelea na utafiti wangu.

Ila kwa kweli ni kwamba hili shirika naweza kusema kabisa kwa performance kiduchu niliyoiona, nakubaliana kabisa na yeyote yule amabaye ana mtizamo wa kufanya mabadiliko kwenye shirika hili. Namba zinanuka zimeoza kabisa, kwa miaka mitano iliyopita hakuna performance yoyote ya kueleweka.

Ili tuweze kuelewa maana ya 'underperformance ya TANESCO, nimeamua kufananisha na shirika lingine la umeme la Uganda 'TANESCO ya UGANDA' ... yaani hii comparative analysis inaweza kukutoa machozi, na kuamini ni kwa jinsi gani watanzania tunakuwa wazembe kiasi hiki.

Siwezi kuandika naomba namba ziongee zaidi....

Ndo mana bado ntazidi kuamini ya kwamba nchi hii kuna mambo mengi sana tumepigwa mchanga wa macho.......

1632757194924.png

Maelezo kwa faida ya wengi
Kwa miaka karibu mitano (2016 - 2020): Tanesco ya Tanzania imekuwa ikikusanya mapato ambayo ni wastani wa pungufu ya 16% ya jumla ya mali zake zote. Wakati kwa Tanesco ya Uganda kwa kipindi hicho hicho wameweza kuwa wanakusanya mapato ambayo ni zaidi ya asilimia 63 ya jumla ya amana zake (Assets).

Hii maana yake ni kwamba, Tanesco ya Tanzania wamerundika amana (assets) nyingi ambazo hazitengenezi mapato yoyote na hali imekuwa hivo ndani ya miaka mitano iliyopita. (Huu ni ukichaa wa aina yake) And mind you, hizi amana zimekuwa zikiongezwa kwa kutumia pesa za walipa kodi kwa sababu Tanesco ni mali ya serikali... Umewaza nini hapo???? Watanzania tumekuwa tukilipia hii inefficiency ya Tanesco for years.... Ni sawa sawa mtoto na kuwa unauza shamba ngombe zako kupeleka Ngombe shule... Thats it...

TANESCO YA UGANDA (UMEME)
Revenue growth between (2016 - 2020)
22.28%​
Total assets growth (2016 - 2020)
19.72%​

TANESCO YA TANZANIA
Revenue growth between (2016 - 2020)
13.38%​
Total assets growth (2016 - 2020)
42.90%​

Kwa faida ya wengi.
Kati ya mwaka 2016 na 2020, Tanesco ya Tanzania mbali na kuongeza assets zake kwa karibu nusu, ila waliweza kuongeza mapato yao kwa asilimia 13 tu. (Ukilema wa hali ya juu) Inaonesha maamuzi ya kuongeza assets hayakuendana na namna ya kutumia hizi assets kuongeza mapato. (Inaonesha kulikuwa na ombwe kubwa la kufikiri na kufanya maamuzi)

Angalia Tanesco wa Uganda, ndani ya mda huo huo waliweza kuongeza assets zao kwa asilimia 19% na wakaweza kuongeza mapato kwa karibu asilimia 22% (Genius!!!!) Hii maana yake ni decisions za mtu anayefikiri, unanunua assets unaongeza mapato... ndo biashara inavofanywa hivi.
 
Sikiliza, ratios sio kipimo sahihi cha performance ya taasisi maana ratio ina ignore vitu vingi sana.

Kwa juu juu unawwza kuangalia ratio zikaleta namba nzuri na tafsiri nzuri kabila ila kwa undani ukakuta mambo mengi yasiyo na maana

Kwa wataalam wa mambo hua hatutumii sana ratios, itakudanganya.
 
Hata kwa macho ya kawaida yasiyohitaji kuumiza kichwa..TANESCO ya mwendazake IMEOZA.

JMakamba ana mzigo mzito sana, akijichanganya na Siasa kwenye hii reformations anayotegemea kuifanya amekwenda na Maji.
 
Cha msingi ,mtu aipate huduma ya umeme kwa bei rahisi.

Tz tunanunua unit moja kwa bei rahisi kuliko uganda.na kuunganishiwa umeme ni wastani wa 27,000.kwa hiyo ni bei nafuu kwa mtu wa kawaida.na hilo ndio lengo kuu la huduma za umma
 
Mabadiliko ni muhimu ila kuwaweka waliowekwa wenye dosari za kiutendaji kwenye rekodi zao kumepoteza maana ya mabadiliko aliyofanya.

Wapigaji hawakutakiwa kuingizwa kwenye hiyo menejimenti, haitakiwi urafiki uwe kigezo cha kuteua wajumbe, bali ni sifa na weledi wao kiutendaji, hili ni doa zaidi hata kwa waziri mwenyewe mwenye rekodi mbovu.
 
Nitauliza swali hili Tanesco ya uganda ina hudumia wateja wangapi ukilinganisha na hii ya Tanzania?

Umeme ni huduma kwa wananchi au ni biashara inayo takiwa iingizie serikali faida? Matumizi ya kodi ni kwa ajili ya nini? Kwa nini wananchi wanalipa kodi?

Nimeangalia CV ya CEO mpya unabaki unashangaa tu. Shirika la Kitaaluma kama Tanesco unatakiwa umuweke anaye liongoza awe anaongea lugha moja na watendaji wa core function ya shirika. Kwanza ni kama kuwa dhalilisha mainjinia wa nji hii. Na huyu CEO linapokuja suala la utaalamu wa co function ya shirika itabidi awe mpole na tegemezi tu. Hata hivyo kuhujumiwa inakuwa rahisi sana. Sijui members wa board kama kuna hata engineer mmoja wapo atakaye ongea lugha moja na waendesha shirika huku chini?
 
Sikiliza, ratios sio kipimo sahihi cha performance ya taasisi maana ratio ina ignore vitu vingi sana.

Kwa juu juu unawwza kuangalia ratio zikaleta namba nzuri na tafsiri nzuri kabila ila kwa undani ukakuta mambo mengi yasiyo na maana

Kwa wataalam wa mambo hua hatutumii sana ratios, itakudanganya.
kama hautumii ratio huwa unatumia nini mkuu? Akati ratio ndo efficient means kwenye kufanya comparison...

Angalia pia huo ufanano wa Revenue growth na assets growth.. what do you see?
 
Tanesco Uganda wanafanya biashara ya umeme Tanesco Tanzania wanatoa huduma ya umeme kwa wananchi. Ndilo jibu la huo ufafanuo/ ufufuo. Hujatuambia Tanesco Uganda imekumbana na huu ufisadi unaotisha ambao Tanesco yetu hapa imeupitia?
 
Mabadiliko ni muhimu ila kuwaweka waliowekwa wenye dosari za kiutendaji kwenye rekodi zao kumepoteza maana ya mabadiliko aliyofanya.

Wapigaji hawakutakiwa kuingizwa kwenye hiyo menejimenti, haitakiwi urafiki uwe kigezo cha kuteua wajumbe, bali ni sifa na weledi wao kiutendaji, hili ni doa zaidi hata kwa waziri mwenyewe mwenye rekodi mbovu.
Wapigaji kwa mujibu wa nani? Magufuli ?
 
Hata kwa macho ya kawaida yasiyohitaji kuumiza kichwa..TANESCO ya mwendazake IMEOZA.

JMakamba ana mzigo mzito sana, akijichanganya na Siasa kwenye hii reformations anayotegemea kuifanya amekwenda na Maji.
Mimi ukiniuliza kwa namba, TANESCO ya Magufuli imefanya kazi kubwa kuliko Tanesco yoyote toka tupate uhuru.

Kabla ya 2015 TANESCO ilikua na wateja 1.8m, yaani kwa miaka 55 tanesco iliweza kuunganisha watenja 1.8m pekee.

Kwa miaka 5, yaani 2016 hadi 2021 tanesco imeunganisha wananchi 1.2m, kwa maana kwamba ukiwapa tanesco miaka 55 kama tanesco ya kabla ya 2016, wataunganisha wananchi 13.2m.

Magufuli alifanya mambo mengi mazuri na mabaya lakini mnapomponda msisahau facts basi ama muwe na facts na sio chuki tu kama vile mtu alietembe ana mkeo ama mpenzi wako.

Mbaya zaidi kwa kupindi hicho cha Magufuli TANESCO imeweza ku post faida ya 52B, angalia vitabu vya hesabu vya mwaka 2020 kutoka kwa CAG.

Sasa wewe nisaidie kujua ni tanesco gani ilikua nzuri zaidi ya hii ya Magufuli? Ile ya jakaya ya kukatika umeme siku 8? Ama nyingine? Ile ya jakaya ya Dowans, Symbion, Agreko, IPTL, Capacity charges, service charges, kuunganisha umeme kwa zaidi ya laki 3 kwa mjini ama tanesco ipi?

Tumponde Magu kwa facts kidogo basi.
 
Nimekuwa nikitafiti mwenendo wa performance wa shirika letu la umeme kwa muda mrefu, ila sikuweza kufanikiwa kupata takwimu kwa wakati. Nikimaanisha takwimu za kifedha za shirika letu hili. Nashukuru Mungu leo wameweka taarifa za kifedha na nimeweza kuendelea na utafiti wangu.

Ila kwa kweli ni kwamba hili shirika naweza kusema kabisa kwa performance kiduchu niliyoiona, nakubaliana kabisa na yeyote yule amabaye ana mtizamo wa kufanya mabadiliko kwenye shirika hili. Namba zinanuka zimeoza kabisa, kwa miaka mitano iliyopita hakuna performance yoyote ya kueleweka.

Ili tuweze kuelewa maana ya 'underperformance ya TANESCO, nimeamua kufananisha na shirika lingine la umeme la Uganda 'TANESCO ya UGANDA' ... yaani hii comparative analysis inaweza kukutoa machozi, na kuamini ni kwa jinsi gani watanzania tunakuwa wazembe kiasi hiki.

Siwezi kuandika naomba namba ziongee zaidi....

Ndo mana bado ntazidi kuamini ya kwamba nchi hii kuna mambo mengi sana tumepigwa mchanga wa macho.......

View attachment 1954796

Maelezo kwa faida ya wengi

Hii maana yake ni kwamba, Tanesco ya Tanzania wamerundika amana (assets) nyingi ambazo hazitengenezi mapato yoyote na hali imekuwa hivo ndani ya miaka mitano iliyopita. (Huu ni ukichaa wa aina yake) And mind you, hizi amana zimekuwa zikiongezwa kwa kutumia pesa za walipa kodi kwa sababu Tanesco ni mali ya serikali... Umewaza nini hapo???? Watanzania tumekuwa tukilipia hii inefficiency ya Tanesco for years.... Ni sawa sawa mtoto na kuwa unauza shamba ngombe zako kupeleka Ngombe shule... Thats it...

TANESCO YA UGANDA (UMEME)
Revenue growth between (2016 - 2020)
22.28%​
Total assets growth (2016 - 2020)
19.72%​

TANESCO YA TANZANIA
Revenue growth between (2016 - 2020)
13.38%​
Total assets growth (2016 - 2020)
42.90%​

Kwa faida ya wengi.
Tanesco haijiendeshi kibiashara na imekuwa mzigo kwa walipakodi kwa sababu ilikuwa inatumiwa na Serikali kama uchochoro wa upigaji.
 
Tubinafsishe alafu hizo asset wachukue hao so called wawekezaji / future wamiliki ?, na tunawapa na nyongeza zaidi baada ya muda sio mrefu capacity ya power generation itakuwa more than double...

Cha maana kama hili game ni rahisi hao so called wawekezaji / future wamiliki waingie mchezoni na wenyewe wafanye generation na distribution huko in the middle of nowhere ambapo Tanesco hawana miundombinu... Au ndio haya haya ya National Housing yanataka kuja huku (kubadilisha shirika ambalo lilijengwa kwa minajili ya affordable housing likabadilishwa kuwa na nyumba za gharama sawa na private companies na ambazo nyingine zimekuwa magofu hakuna wapangaji) ?

Kumbuka Tanesco ufanisi wake haupimwi kwa pesa ngapi imezalisha bali wangapi wanapata umeme kwa bei nafuu/ affordable
 
Mimi ukiniuliza kwa namba, TANESCO ya Magufuli imefanya kazi kubwa kuliko Tanesco yoyote toka tupate uhuru.

Kabla ya 2015 TANESCO ilikua na wateja 1.8m, yaani kwa miaka 55 tanesco iliweza kuunganisha watenja 1.8m pekee.

Kwa miaka 5, yaani 2016 hadi 2021 tanesco imeunganisha wananchi 1.2m, kwa maana kwamba ukiwapa tanesco miaka 55 kama tanesco ya kabla ya 2016, wataunganisha wananchi 13.2m.

Magufuli alifanya mambo mengi mazuri na mabaya lakini mnapomponda msisahau facts basi ama muwe na facts na sio chuki tu kama vile mtu alietembe ana mkeo ama mpenzi wako.

Mbaya zaidi kwa kupindi hicho cha Magufuli TANESCO imeweza ku post faida ya 52B, angalia vitabu vya hesabu vya mwaka 2020 kutoka kwa CAG.

Sasa wewe nisaidie kujua ni tanesco gani ilikua nzuri zaidi ya hii ya Magufuli? Ile ya jakaya ya kukatika umeme siku 8? Ama nyingine? Ile ya jakaya ya Dowans, Symbion, Agreko, IPTL, Capacity charges, service charges, kuunganisha umeme kwa zaidi ya laki 3 kwa mjini ama tanesco ipi?

Tumponde Magu kwa facts kidogo basi.
Sio huko tu hadi kule kwenye maji ,wale waliokuwa wanakata kata maji ili watuuzie yale wanayoleta kwenye magari walipoteana.
 
Mkuu watanzania wooote bila kujali kapuku hadi viongozi,tungepata umeme sawa na kulipa kiwango sawa,shirika lingekua mbali mno. Hao hao wanakua wa kwanza kulalamika ndo hao wanaojijazia units majumbani mwao hadi viwandani mwao kwa bei chee,mkopo au bure kabisa
 
Namkumbuka Magufuli kwa takwimu za 'kupika' tu.

Kupika takwimu na kuwaaminisha wananchi wako ni sifa ya mtawala anayependa kuabudiwa na kusifiwa. Hii ilikuwa kwa Shujaa tu.

Na ndio maana alikuwa hapendi kuchunguzwa (refer takwimu za CAG, na kilichomtokea Mdhibiti) katika taasisi zake.
Takwimu za kupikwa hadi uchumi wa kati na world Bank ikathibitisha.

Umeme ulikatikakatika mara kwa mara tena ulikuwa na gharama za juu sana.

chuki ikizidi ni ugonjwa unaoweza kukusababishia kansa na hata kukutoa ktk reli ya kuuona ufalme wa milele.
 
Tanesco haijiendeshi kibiashara na imekuwa mzigo kwa walipakodi kwa sababu ilikuwa inatumiwa na Serikali kama uchochoro wa upigaji.
Mtoa mada amepotelea kwenye usomi usio na uhalisia hata kidogo. Huo mfananisho na uwiano hauna uhalisia hata kwa ⅛ ya ukweli halisi.

Labda tumuulize mtoa mada, anajua MDAIWA SUGU wa Tanesco ni serikali kuu? Anajua umeme unaotumiwa visiwani unatoka huku ila makusanyo yote yanaishia kule kule? Una fahamu shirika lina zaidi ya wafanyakazi 6000 na takribani nusu ya wafanyakazi wanapewa unit 750 kila kwezi kwa gharama isiyozidi shilingi 12,000?

Sasa kama Tanesco wataongeza assets ili kuzalisha na kusambaza umeme, halafu wasikusanye sawa na assets zao, utawalaumu? Fikiria Mkurugenzi wa Tanesco anaenda kuidai IKULU, kambi za jeshi kupitia wizara, mahospitali kupitia wizara, shule n.k, hao wote hawalipi ujue!

Sasa binafsisha au liendeshe kibiashara tuone unapataje faida na kupandisha ufanisi! Netgroup solutions walikata umeme Ikulu, sijui kama unakumbuka? Enzi za Idrisa, kisa cha kujiuzulu ni Tanga cement kudaiwa zaidi ya 900ml na hawataki kulipa kwakuwa mkubwa anafahamiana na waziri na m/kiti wa bodi ambao wanashinikiza deni lisilipwe.

Jamaa walifikiria kuzima umeme uendao visiwani pia.

Sijui kama huu wa namba unajua yote hayo, na hata hivyo, kuifananisha Tanesco na kakitu kadogo ka Uganda ni kuizalilisha. Enzi za Julius, Tanesco ilikuwa shirika bora Africa, nambari uno. Sasa hatuna haja ya kwenda mbali kuchukua namba kujifunza, tufute mavumbi yale madocs, tugelezee tu.
 
Ndio maana serikali imeamua kuteua wajumbe wa bodi wanabiashara Ili kulisaidia shirika kujiendesha.

Na imesema haitaingilia mambo ya management na Kwa maana Hiyo serikali ilipe madeni yake.
 
Nimekuwa nikitafiti mwenendo wa performance wa shirika letu la umeme kwa muda mrefu, ila sikuweza kufanikiwa kupata takwimu kwa wakati. Nikimaanisha takwimu za kifedha za shirika letu hili. Nashukuru Mungu leo wameweka taarifa za kifedha na nimeweza kuendelea na utafiti wangu.

Ila kwa kweli ni kwamba hili shirika naweza kusema kabisa kwa performance kiduchu niliyoiona, nakubaliana kabisa na yeyote yule amabaye ana mtizamo wa kufanya mabadiliko kwenye shirika hili. Namba zinanuka zimeoza kabisa, kwa miaka mitano iliyopita hakuna performance yoyote ya kueleweka.

Ili tuweze kuelewa maana ya 'underperformance ya TANESCO, nimeamua kufananisha na shirika lingine la umeme la Uganda 'TANESCO ya UGANDA' ... yaani hii comparative analysis inaweza kukutoa machozi, na kuamini ni kwa jinsi gani watanzania tunakuwa wazembe kiasi hiki.

Siwezi kuandika naomba namba ziongee zaidi....

Ndo mana bado ntazidi kuamini ya kwamba nchi hii kuna mambo mengi sana tumepigwa mchanga wa macho.......

View attachment 1954796

Maelezo kwa faida ya wengi

Hii maana yake ni kwamba, Tanesco ya Tanzania wamerundika amana (assets) nyingi ambazo hazitengenezi mapato yoyote na hali imekuwa hivo ndani ya miaka mitano iliyopita. (Huu ni ukichaa wa aina yake) And mind you, hizi amana zimekuwa zikiongezwa kwa kutumia pesa za walipa kodi kwa sababu Tanesco ni mali ya serikali... Umewaza nini hapo???? Watanzania tumekuwa tukilipia hii inefficiency ya Tanesco for years.... Ni sawa sawa mtoto na kuwa unauza shamba ngombe zako kupeleka Ngombe shule... Thats it...

TANESCO YA UGANDA (UMEME)
Revenue growth between (2016 - 2020)
22.28%​
Total assets growth (2016 - 2020)
19.72%​

TANESCO YA TANZANIA
Revenue growth between (2016 - 2020)
13.38%​
Total assets growth (2016 - 2020)
42.90%​

Kwa faida ya wengi.
Uganda na Tanzania wapi na wapi tena Mushi

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom