Mkuu kumbe umeona hee kuna mapapeti hasa yamo humo kuwasifia hao magubigubiKuna kitu kinaandaliwa kwa ustadi mkubwa sana, huoni puppets wa February wanazidi kujaa humu? Ngoja tusubiri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kumbe umeona hee kuna mapapeti hasa yamo humo kuwasifia hao magubigubiKuna kitu kinaandaliwa kwa ustadi mkubwa sana, huoni puppets wa February wanazidi kujaa humu? Ngoja tusubiri
Ndio taratibi hizo kila taasis inafabya huvyo hata TRA ;NHIF ni mfumo mzuri wa mKousabyo ya fedha ina inaongeza uwazi .ukitaka kufanya Matumizi unakuwa na bajeti yako na mpango hamna shida yoyote hiyoWasomi wa JF kama wewe kichefu chefu Sana
Unalaumu management ya Tanesco as if walikuwa na power ya kufanya lolote
Chini ya Magufuli mapato yote walikuwa wanapeleka hazina na matumizi yeyote lazima waombe kibali..
Mara nyingi vibali hawapewi zaidi ya matumizi ya kawaida
Wasomi wa Jf kama wewe kichefu chefu sana
Tanesco chini ya Magufuli walikuwa wanakabidhi mapato yote serikalini na spending yeyote Ile tofauti na mishahara wanaomba kibali...
Hao waganda wanafanya kazi kwenye setu ya aina hii??..
Nina thread kama 3 humu nalalamikia centralisation ya Magufuli ilivyo haribu uchumi....
Dig deeper..
Ndio taratibi hizo kila taasis inafabya huvyo hata TRA ;NHIF ni mfumo mzuri wa mKousabyo ya fedha ina inaongeza uwazi .ukitaka kufanya Matumizi unakuwa na bajeti yako na mpango hamna shida yoyote hiyo
Kwenye hili la centralization aliharibu sana, Ila at least hatukuingia tena ile mikataba ya akina iptl, Dowans, Wala richmondWasomi wa JF kama wewe kichefu chefu Sana
Unalaumu management ya Tanesco as if walikuwa na power ya kufanya lolote
Chini ya Magufuli mapato yote walikuwa wanapeleka hazina na matumizi yeyote lazima waombe kibali..
Mara nyingi vibali hawapewi zaidi ya matumizi ya kawaida
Wasomi wa Jf kama wewe kichefu chefu sana
Tanesco chini ya Magufuli walikuwa wanakabidhi mapato yote serikalini na spending yeyote Ile tofauti na mishahara wanaomba kibali...
Hao waganda wanafanya kazi kwenye setu ya aina hii??..
Nina thread kama 3 humu nalalamikia centralisation ya Magufuli ilivyo haribu uchumi....
Dig deeper..
Wajinga ndo mtaendelea kumwabudu mwendazake. Yule bwana alikuwa muongomuongo na mlaghai mkubwa.Mimi ukiniuliza kwa namba, TANESCO ya Magufuli imefanya kazi kubwa kuliko Tanesco yoyote toka tupate uhuru.
Kabla ya 2015 TANESCO ilikua na wateja 1.8m, yaani kwa miaka 55 tanesco iliweza kuunganisha watenja 1.8m pekee.
Kwa miaka 5, yaani 2016 hadi 2021 tanesco imeunganisha wananchi 1.2m, kwa maana kwamba ukiwapa tanesco miaka 55 kama tanesco ya kabla ya 2016, wataunganisha wananchi 13.2m.
Magufuli alifanya mambo mengi mazuri na mabaya lakini mnapomponda msisahau facts basi ama muwe na facts na sio chuki tu kama vile mtu alietembe ana mkeo ama mpenzi wako.
Mbaya zaidi kwa kupindi hicho cha Magufuli TANESCO imeweza ku post faida ya 52B, angalia vitabu vya hesabu vya mwaka 2020 kutoka kwa CAG.
Sasa wewe nisaidie kujua ni tanesco gani ilikua nzuri zaidi ya hii ya Magufuli? Ile ya jakaya ya kukatika umeme siku 8? Ama nyingine? Ile ya jakaya ya Dowans, Symbion, Agreko, IPTL, Capacity charges, service charges, kuunganisha umeme kwa zaidi ya laki 3 kwa mjini ama tanesco ipi?
Tumponde Magu kwa facts kidogo basi.
Wewe huna akili, huwezi kuelewa nilichokiandika hapa.Wajinga ndo mtaendelea kumwabudu mwendazake. Yule bwana alikuwa muongomuongo na mlaghai mkubwa.
Hakuna kipindi ambacho ni ngumu kupata data za Tanzania km kipindi alichoongoza huyo mnaemwita shujaa na ukipata data basi lazima inakuwa zimechezewa.
Yule bwana alikuwa dikteta kwa tafsiri yoyote ile.
Kwanni mnalinganisha na miaka 5 iliyopita kwani TANESCO ilikuepo kwa miaka hiyo tu? Mbona hatuongelei kipindi cha unyonyaji wa kupindukia wa DOWANS, SYMBIONS, RICHMOND na IPTL.Nimekuwa nikitafiti mwenendo wa performance wa shirika letu la umeme kwa muda mrefu, ila sikuweza kufanikiwa kupata takwimu kwa wakati. Nikimaanisha takwimu za kifedha za shirika letu hili. Nashukuru Mungu leo wameweka taarifa za kifedha na nimeweza kuendelea na utafiti wangu.
TANESCO YA UGANDA (UMEME) Revenue growth between (2016 - 2020) 22.28%Total assets growth (2016 - 2020) 19.72%
TANESCO YA TANZANIA Revenue growth between (2016 - 2020) 13.38%Total assets growth (2016 - 2020) 42.90%
Kwa faida ya wengi.
Acha upuuzi wewe. Huyo Mwendazake aliipokea TANESCO ikiwa katika hali gani? Mbona hatukuona umeme ukikatika kama ilivyokua kipindi cha msoga? Mmeshasahau kina IPTL, SYMBION Walivyokua wanaiuzia TANESCO Umeme kwa gharama kubwa? Huyu mwendazake ndo akaja kuondoa huo upumbavu. Shwain wewe.Hata kwa macho ya kawaida yasiyohitaji kuumiza kichwa..TANESCO ya mwendazake IMEOZA.
JMakamba ana mzigo mzito sana, akijichanganya na Siasa kwenye hii reformations anayotegemea kuifanya amekwenda na Maji.
Kwenye bei regulator atabakia kuwa serikali,hapo serikali inataka wajiendeshe iache kuingilia kwenye management lakini haijawaambia wafanye upuuzi, EWURA iko pale pale.Mkuu, hii ni ngumu aisee. Hakuna mwananchi wa kawaida atayeweza kulipa tsh 600 kwa unit moja ya umeme! Na Znz haitakubali kuanza kulipia umeme sasa, hii pia itafanya bei ya umeme ipande zaidi.
Biashara ni kuuza kwa faida. Ngeleja alifikiria kufanya hivyo kwa kuligawa shirika vipande vitatu, UZALISHAJI, USAFIRISHAJI na USAMBAZAJI, kwamba serikali ibakiwe na Usafirishaji tu. Hoja ikawa, Uzalishaji na Usafirishaji wataweza kufanya biashara ya faida, mzigo utabaki kwa huyu msambazaji ambaye ukiachilia mbali wezi wa umeme, ataweza kusubiri malipo ya serikali yamachuwe? Kwamba watumie leo wakulipe baada ya mwaka mmoja? Yeye atapaswa kununua umeme kwa cash kutoka kwa wazalishaji ambao kwa wakati huo sasa ni kina Dowans, Symbion, IPTL, Richmond, Aggreko n.k kisha alipie usafirishaji kwa serikali mwenye hiyo miundombinu, lakini kwakuwa anamdai serikali, atafidia hapo, hivyo kampuni ya Usafirishaji umeme ya serikali itakumbwa na ukata, ishindwe kuhudumia miundombinu, kisha nini kitatokea?
SA na Escom yao sasa hivi ni majanga, kisa ni miundombinu inakufa kwakuwa serikali haiwezi kuihudumia, jamaa wana mgao siku hizi.
Analysis yako iko biased aidha kwa kutokuchimba sababu za hiyo dismay petfomance au una agernda nyingine ya kutaka shirika liporwe kwa gia cha ubinafsishaji.Nimekuwa nikitafiti mwenendo wa performance wa shirika letu la umeme kwa muda mrefu, ila sikuweza kufanikiwa kupata takwimu kwa wakati. Nikimaanisha takwimu za kifedha za shirika letu hili. Nashukuru Mungu leo wameweka taarifa za kifedha na nimeweza kuendelea na utafiti wangu.
Ila kwa kweli ni kwamba hili shirika naweza kusema kabisa kwa performance kiduchu niliyoiona, nakubaliana kabisa na yeyote yule amabaye ana mtizamo wa kufanya mabadiliko kwenye shirika hili. Namba zinanuka zimeoza kabisa, kwa miaka mitano iliyopita hakuna performance yoyote ya kueleweka.
Ili tuweze kuelewa maana ya 'underperformance ya TANESCO, nimeamua kufananisha na shirika lingine la umeme la Uganda 'TANESCO ya UGANDA' ... yaani hii comparative analysis inaweza kukutoa machozi, na kuamini ni kwa jinsi gani watanzania tunakuwa wazembe kiasi hiki.
Siwezi kuandika naomba namba ziongee zaidi....
Ndo mana bado ntazidi kuamini ya kwamba nchi hii kuna mambo mengi sana tumepigwa mchanga wa macho.......
View attachment 1954796
Maelezo kwa faida ya wengi
Hii maana yake ni kwamba, Tanesco ya Tanzania wamerundika amana (assets) nyingi ambazo hazitengenezi mapato yoyote na hali imekuwa hivo ndani ya miaka mitano iliyopita. (Huu ni ukichaa wa aina yake) And mind you, hizi amana zimekuwa zikiongezwa kwa kutumia pesa za walipa kodi kwa sababu Tanesco ni mali ya serikali... Umewaza nini hapo???? Watanzania tumekuwa tukilipia hii inefficiency ya Tanesco for years.... Ni sawa sawa mtoto na kuwa unauza shamba ngombe zako kupeleka Ngombe shule... Thats it...
TANESCO YA UGANDA (UMEME) Revenue growth between (2016 - 2020) 22.28%Total assets growth (2016 - 2020) 19.72%
TANESCO YA TANZANIA Revenue growth between (2016 - 2020) 13.38%Total assets growth (2016 - 2020) 42.90%
Kwa faida ya wengi.
Hoja moja moja. Ewura wana regulate bei ya umeme kulingana na jinsi serikali inavyo subsidise bei ya unit. Sasa kama watu wapo kibiashara, serikali itaendelea ku-subsidise hiyo bei? Kwamba itaendelea kuweka ruzuku kule? Gharama halisi ya kuzalisha hiyo unit moja sio tsh 357. Sasa utazalisha unit moja kwa sh 500 halafu ukauze kwa 357? Ewura watabidi waone hali halisi kama ilivyo kwenye mafuta, wapo huko na watu wanapiga kelele bei ya mafuta, nini wanafanya?Kwenye bei regulator atabakia kuwa serikali,hapo serikali inataka wajiendeshe iache kuingilia kwenye management lakini haijawaambia wafanye upuuzi, EWURA iko pale pale.
Kama shirika linakula hasara serikali haiwezi kuliacha mbona ATCL wanakomaa nalo licha ya hasara ya Mabilioni..
Tanesco wanaweza pata faida kwa bongo kwa sababu Wana mtaji wa vyanzo vya umeme wa kutosha ,South kule umeme hata haitoshi.
Ndio inatakiwa watu kuwa tayari sasa kukaa mkao wa kibiashara,kama nchi zingine Serikalini zao hazitoi rusuku na huku kwetu ruzuku sio lazima maana hata kwenye kilimo walishaachana na mambo ya ruzuku..Hoja moja moja. Ewura wana regulate bei ya umeme kulingana na jinsi serikali inavyo subsidise bei ya unit. Sasa kama watu wapo kibiashara, serikali itaendelea ku-subsidise hiyo bei? Kwamba itaendelea kuweka ruzuku kule? Gharama halisi ya kuzalisha hiyo unit moja sio tsh 357. Sasa utazalisha unit moja kwa sh 500 halafu ukauze kwa 357? Ewura watabidi waone hali halisi kama ilivyo kwenye mafuta, wapo huko na watu wanapiga kelele bei ya mafuta, nini wanafanya?
ATCL? Wakina waziri waliliua shirika kwa makusudi ili Precision ifanye biashara.
Unafahamu SA wanatumia nyuklia kuzalisha umeme? Vyanzo vipi sasa hawana? Gesi za aina zote wanatumia wale jamaa.
Tanesco haiwezi kujiendesha kwa faida hata wakiwekwa wafanyabiashara bora kulisimamia shirika endapo halitapumzisha kutoka kwenye mifumo ya kiserikali ambapo itamaanisha mzigo wa kweli uende kwa mlaji.
Nilimsikia January anasema haikuwa kazi rahisi kumpata MD wa Tanesco! Nilistaajabu kweli! Nikawaza MD anateuliwa na Rais huyu inakuwaje anasema hivi? Kumbe ye January ndiye kamtafuta banah na Bi mdasha kapelekewa jina tu kapitisha! MD wa sasa wa Tanesco qlishapiga maselfie kibao na Nape na isitoshe na washikaji kumbe na January....Mabadiliko ni muhimu ila kuwaweka waliowekwa wenye dosari za kiutendaji kwenye rekodi zao kumepoteza maana ya mabadiliko aliyofanya.
Wapigaji hawakutakiwa kuingizwa kwenye hiyo menejimenti, haitakiwi urafiki uwe kigezo cha kuteua wajumbe, bali ni sifa na weledi wao kiutendaji, hili ni doa zaidi hata kwa waziri mwenyewe mwenye rekodi mbovu.
Hii 357 ambayo serikali ina mkono wake tu tayari ni mzigo, sasa ikiachwa halisi ambayo gharama za uzalishaji tu hazipungui 500, si utakuwa msiba kwetu kaka?Ewura wanaregulate bei za maji,mafuta na umeme watafanya hivyo..kwani unit ikouzwa 375 Kuna tatizo?
SI[emoji3][emoji84][emoji84][emoji972][emoji306]Nimekuwa nikitafiti mwenendo wa performance wa shirika letu la umeme kwa muda mrefu, ila sikuweza kufanikiwa kupata takwimu kwa wakati. Nikimaanisha takwimu za kifedha za shirika letu hili. Nashukuru Mungu leo wameweka taarifa za kifedha na nimeweza kuendelea na utafiti wangu.