Namependa sana mrembo Julieth Robert wa ITV

cetterhutter

Senior Member
Joined
Sep 5, 2017
Posts
167
Reaction score
75
Wataalamu wanasema ukikaa na jambo moyoni bila kulisema linaweza kukuletea madhara hivyo natanguliza kumuomba radhi mlengwa kiukweli nampenda sana napenda awe mwenza wangu japokuwa najua ni ngumu sana kutokana na maisha yangu. IIa nimetoa ya moyoni pia naomba mchango wenu wa mawazo nini nifanye ili niweze kuwa naye.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • Screenshot_20170906-141231.png
    307.2 KB · Views: 120
dah mzee hii trick yako noma,ningekua namjua ningekusaidia kufikisha ujumbe mkuu
 
Vizuri vimegaramiwa Mkuu tafuta tu mwingine huyo tayari ninaye[emoji5] [emoji5] [emoji5]
 
Labda kwa sababu unamuona luningani ila kuna wengine wengi kama yeye au zaidi yake. Ukitaka vizuri chimbua mwenyewe achana na vilivokwisahaanikwa.
 
Kitu muhimu ni uwe na 'NGUVU ZA KIUME'(siyo zile za kunyanyua vyuma au kula supu ya pweza) ukiwa nazo hizo huna haja ya kuja hata kusema hapa.......akisoma mumala mara 2,3, mwenyewe ataomba appointment nawe na hapo itakuwa ni juu yako utakavyopenda kutii kiu yako...hila nasisitiza NGUVU ZA KIUME ni muhimu sana kwa viumbe hawa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…