cetterhutter
Senior Member
- Sep 5, 2017
- 167
- 75
Wataalamu wanasema ukikaa na jambo moyoni bila kulisema linaweza kukuletea madhara hivyo natanguliza kumuomba radhi mlengwa kiukweli nampenda sana napenda awe mwenza wangu japokuwa najua ni ngumu sana kutokana na maisha yangu. IIa nimetoa ya moyoni pia naomba mchango wenu wa mawazo nini nifanye ili niweze kuwa naye.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app