Namependa sana mrembo Julieth Robert wa ITV

yeah hapo cha msingi awe tu na nguvu za kiume za kutosha
 
Mimi naomba umfuate hapo ITV sio mbali kama wewe nawe Ni mwanaume Wa dar ka mm!!!

DJ sepetu
 
sidhani aisee mtoto mkali kama huyo akose jamaa wa kuwa nae
Kwani dunia ya siku hizi kuna watu wako single?

Cha muhimu ni kuangalia kama amefunga ndoa halali au la!

"the highest risk shoud give the maximum profit"
 
Pole sana mkuu na hongera kwa kutumia njia hii kuwasilisha ya moyoni mwako!
Kosa tu ni moja,HUKUJIAMINI KAMA MWANAUME!
Siku zote mwanaume ndio mfalme wa pori(simba)na ndio maana mwanamke hawezi ishi bila mfalme!so ujasiri na juhudi zako ndio mtaji wako.Unaweza kumpata mwanamke yoyote ukiwa na huo mtaji!
 
Asante sana ndugu kwa ushauri wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…