Weka pichaMi ningekuwa dume aisee ningekuwa na watoto wakali huyo urembo hata sijaona
HahahaMwanaume wa DSM. Chips yai mishkaki maji jero na karanga za buku.
Mhongo mbichi wenye chumvi ndimu na pilipili.
MashineMwanaume wa DSM. Chips yai mishkaki maji jero na karanga za buku.
Mhongo mbichi wenye chumvi ndimu na pilipili.
mkuu mle tu kwa macho,tayari ana mtu wakeWataalamu wanasema ukikaa na jambo moyoni bila kulisema linaweza kukuletea madhara hivyo natanguliza kumuomba radhi mlengwa kiukweli nampenda sana napenda awe mwenza wangu japokuwa najua ni ngumu sana kutokana na maisha yangu. IIa nimetoa ya moyoni pia naomba mchango wenu wa mawazo nini nifanye ili niweze kuwa naye.View attachment 582615
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuuuu lkn ingekuwa poa kama angeniambia mwenyewe kuwa tayari ameshaolewa maana kuwa na mtu syo tatizo ili muladi awe hajaolewa maana mm nahitaji kuishi naye kwa ndoa.mkuu mle tu kwa macho,tayari ana mtu wake
Yeah mkuuKwani dunia ya siku hizi kuna watu wako single?
Cha muhimu ni kuangalia kama amefunga ndoa halali au la!
"the highest risk shoud give the maximum profit"
jamaa kanikumbusha mbali sana,ITV 2003 Irene Malonga,daah yule mdada,alivyokuja kuolewa i was downheartedItakuwa ni maajabu ya karne kama huyo dada yupo Single hadi sasa
vipi ulikuwa unataka utangaze nia mkuu??jamaa kanikumbusha mbali sana,ITV 2003 Irene Malonga,daah yule mdada,alivyokuja kuolewa i was downhearted
hahahaaha mkuu acha tuu,moyo hauna gauge ukiacha ukutawale hata cha mwenzio utaona cha kwakovipi ulikuwa unataka utangaze nia mkuu??
Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
kweli aiseehahahaaha mkuu acha tuu,moyo hauna gauge ukiacha ukutawale hata cha mwenzio utaona cha kwako
Kuwa mkweli sio tatizo, ila unakuwa mkweli katika lipi na huo ukweli unausema vipi!!
Uzuri u machoni pa mtu.Mi ningekuwa dume aisee ningekuwa na watoto wakali huyo urembo hata sijaona
yaan huy mrembo? kuwa seriuz mzee!Wataalamu wanasema ukikaa na jambo moyoni bila kulisema linaweza kukuletea madhara hivyo natanguliza kumuomba radhi mlengwa kiukweli nampenda sana napenda awe mwenza wangu japokuwa najua ni ngumu sana kutokana na maisha yangu. IIa nimetoa ya moyoni pia naomba mchango wenu wa mawazo nini nifanye ili niweze kuwa naye.View attachment 582615
Sent using Jamii Forums mobile app