Namependa sana mrembo Julieth Robert wa ITV

Namependa sana mrembo Julieth Robert wa ITV

Screenshot_20170604-195607.png
 
Wataalamu wanasema ukikaa na jambo moyoni bila kulisema linaweza kukuletea madhara hivyo natanguliza kumuomba radhi mlengwa kiukweli nampenda sana napenda awe mwenza wangu japokuwa najua ni ngumu sana kutokana na maisha yangu. IIa nimetoa ya moyoni pia naomba mchango wenu wa mawazo nini nifanye ili niweze kuwa naye.View attachment 582615

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu mle tu kwa macho,tayari ana mtu wake
 
Kwani dunia ya siku hizi kuna watu wako single?

Cha muhimu ni kuangalia kama amefunga ndoa halali au la!

"the highest risk shoud give the maximum profit"
Yeah mkuu

Sent from my iDevice using Tapatalk
 
jamaa kanikumbusha mbali sana,ITV 2003 Irene Malonga,daah yule mdada,alivyokuja kuolewa i was downhearted
vipi ulikuwa unataka utangaze nia mkuu??

Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
 
Kweli kipendacho roho........sijavutiwa mae kabisa
 
Wataalamu wanasema ukikaa na jambo moyoni bila kulisema linaweza kukuletea madhara hivyo natanguliza kumuomba radhi mlengwa kiukweli nampenda sana napenda awe mwenza wangu japokuwa najua ni ngumu sana kutokana na maisha yangu. IIa nimetoa ya moyoni pia naomba mchango wenu wa mawazo nini nifanye ili niweze kuwa naye.View attachment 582615

Sent using Jamii Forums mobile app
yaan huy mrembo? kuwa seriuz mzee!
 
Back
Top Bottom