Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Kila mlipomsifu kwa utu na kujali raia hasa wanawake neno langu lilikuwa moja Tu, "HAMUMJUI". Namfahamu tangu akiwa msaidizi wa Mkuu wa Matrafiki kipindi kile ilivuma clip mitandaoni aliposikika akimfokea Askari wa kike aliyedhalilishwa na dereva aliyesema ni "Mtu wa afande". Kama sikosei Askari wa kike alikuwa wa Manyara na sidhani kama hakufukuzwa kazi au kuondolewa trafiki.
Baadaye nikamsikia Rukwa na kisha Songwe. Huyu ni Mtu show off, mwanamke wa matangazo na utakatifu wa kupaka rangi. Bwana asifiwe na kukariri vifungu vya biblia viliwapumbaza wengi Sasa amewaonyesha rangi yake halisi kwamba yale anaoonyesha kwenye media kama yuko tofauti na mapolisi wengine waliozoea kubadili uhalisia Kwa faida yao au ya taasisi yao.
Tusiweke Imani juu ya Wahalifu watakatifu.