Namfahamu RPC Mallya tangu akiwa msaidizi wa Mkuu wa Matrafiki

hivi unajua mazingira ya kutekwa wewe? ulitaka akaze ili wamuue au wampasue!? angekuwa mwanao au dada yakoel usingekuja kuandika haya qumamako
Kwani dada yangu ye anatofauti gani na huyo dada .....kwamba kuwa dada yangu ndo ingeninyima kufikiria tukio limefanyika katika mazingira gani......usilete akili za kijamaajamaa hapa
 
Huyo RPC ndiyo kielelezo sahihi cha walivyo hawa tuliowapa jukumu la kulinda raia na mali zetu.

Nashukuru sana Mungu kwa kutokuwa na ndugu kwenye ukoo wetu aliyepo huko kwenye hilo genge la waovu wenye sare.

Mshenzi mkubwa huyu. Kwa hyo kama anajiuza ndo wamfanye mande?wamteke?wamlawiti??wamrekodi?wasambaze picha?ana akili kweli huyu?.
Sawa anajiuza ni kahaba. Je alilipwa shilingi ngapi?.
Walikubaliana?
Huyu mama kichwa chake kimejaa funza
 
Angefukuzwa kabisa
 
Attachments

  • Screenshot 2024-08-19 at 11.18.44.png
    Screenshot 2024-08-19 at 11.18.44.png
    692.8 KB · Views: 1
Kila mlipomsifu kwa utu na kujali raia hasa wanawake neno langu lilikuwa moja Tu, "HAMUMJUI". Namfahamu tangu akiwa msaidizi wa Mkuu wa Matrafiki kipindi kile ilivuma clip mitandaoni aliposikika akimfokea Askari wa kike aliyedhalilishwa na dereva aliyesema ni "Mtu wa afande". Kama sikosei Askari wa kike alikuwa wa Manyara na sidhani kama hakufukuzwa kazi au kuondolewa trafiki.

Baadaye nikamsikia Rukwa na kisha Songwe. Huyu ni Mtu show off, mwanamke wa matangazo na utakatifu wa kupaka rangi. Bwana asifiwe na kukariri vifungu vya biblia viliwapumbaza wengi Sasa amewaonyesha rangi yake halisi kwamba yale anaoonyesha kwenye media kama yuko tofauti na mapolisi wengine waliozoea kubadili uhalisia Kwa faida yao au ya taasisi yao.

Tusiweke Imani juu ya Wahalifu watakatifu.
Hawa ndiyo wanapata vyeo kwa kuvuliwa chupi
 
Mh Kaka hata siku ukawa na hayo mamlaka tafadhali usifanye kitu Cha namna hiyo ,hakuna kitu linauma kwa watu wa vyombo vya usalama Kama hiko na itoshe kusema unaweza kusababisha hata kifo kwa mtu kujiuwa ,isikie tu hiyo adhabu Ila omba isikukute .
Huyu Afande ningekuwa na mamlaka angeamka asubuhi ajikute ni kama ameingia jeshini jana. Ningesafisha mabega yake asingeamini.[/
Huyu Afande ningekuwa na mamlaka angeamka asubuhi ajikute ni kama ameingia jeshini jana. Ningesafisha mabega yake asingeamini.
 
Mh Kaka hata siku ukawa na hayo mamlaka tafadhali usifanye kitu Cha namna hiyo ,hakuna kitu linauma kwa watu wa vyombo vya usalama Kama hiko na itoshe kusema unaweza kusababisha hata kifo kwa mtu kujiuwa ,isikie tu hiyo adhabu Ila omba isikukute .
Tusiruhusu watu washenzi kuwa na vyeo vikubwa kwenye mabega yao, watu washenzi wanastahili kuwa chini ili wakose watu wa kuwafanyia ushenzi wao.

Watu washenzi wakiwa na mamlaka makubwa wanaharibu hata wale wema walio chini yao. Kifupi huyo mama hana roho ya kibanaadamu, hafai, nafurahi kidogo hata kwa kauli ya wazi Jeshi la Polisi limejitenga na kauli yake ya kishenzi!
 
Sasa huyu mama amekosa Nini hapa?
Kila mtu si msafi hata Mimi , hata wewe, hata yule. Sa kwanini unamrushia tope zito hivi. Yule mama ni mtetezi wa kwelikweli wa wanyonge hasa wazee ,wawake ,na watoto. Ukiwa na shida unampigia bila shida anakusikiliza.
Nb.
Je ulitaka aje na tamko litakalokufurahisha?
 
Kila mlipomsifu kwa utu na kujali raia hasa wanawake neno langu lilikuwa moja Tu, "HAMUMJUI". Namfahamu tangu akiwa msaidizi wa Mkuu wa Matrafiki kipindi kile ilivuma clip mitandaoni aliposikika akimfokea Askari wa kike aliyedhalilishwa na dereva aliyesema ni "Mtu wa afande". Kama sikosei Askari wa kike alikuwa wa Manyara na sidhani kama hakufukuzwa kazi au kuondolewa trafiki.

Baadaye nikamsikia Rukwa na kisha Songwe. Huyu ni Mtu show off, mwanamke wa matangazo na utakatifu wa kupaka rangi. Bwana asifiwe na kukariri vifungu vya biblia viliwapumbaza wengi Sasa amewaonyesha rangi yake halisi kwamba yale anaoonyesha kwenye media kama yuko tofauti na mapolisi wengine waliozoea kubadili uhalisia Kwa faida yao au ya taasisi yao.

Tusiweke Imani juu ya Wahalifu watakatifu.
Duuh
 
Sasa huyu mama amekosa Nini hapa?
Kila mtu si msafi hata Mimi , hata wewe, hata yule. Sa kwanini unamrushia tope zito hivi. Yule mama ni mtetezi wa kwelikweli wa wanyonge hasa wazee ,wawake ,na watoto. Ukiwa na shida unampigia bila shida anakusikiliza.
Nb.
Je ulitaka aje na tamko litakalokufurahisha?
We ni mwanaye nini?
 
Back
Top Bottom