Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Utaishia kupotezewa muda tu haki hakuna, uonevu unazidi kushamiri kila uchwao na hawachukui hatua yeyote kudhibiti hali hiyo. Sijui tunaelekea wapi kama taifa.Wewe angalia tu hata hile ishu ya kina tundu lisu, mbilinyi kupigwa na polisi na hakuna kosa lolote la jinai kisa mikusanyiko tu, yani jeshi la polisi sio la kukimbilia, ogopa sana taasisi zenye mamlaka fulani ya kusimamia kisheria huwa zina mabavu, rushwa, sub standard, yani its a corrupt system hutoboi ukisimamia haki