Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unashida ktk kufikiriSasa huyu mama amekosa Nini hapa?
Kila mtu si msafi hata Mimi , hata wewe, hata yule. Sa kwanini unamrushia tope zito hivi. Yule mama ni mtetezi wa kwelikweli wa wanyonge hasa wazee ,wawake ,na watoto. Ukiwa na shida unampigia bila shida anakusikiliza.
Nb.
Je ulitaka aje na tamko litakalokufurahisha?
Hovyo kabisa wewe, watanzania tutasimama na yule dada hadi haki yake ipatikane and nakuhakikishia kwa jinsi watu wanavyolifuatilia hili swala yoyote atakayejaribu kutetea ule ushenzi au kuvuruga ushahidi hata raisi hatokubali ataliwa kichwa tena fasterYuko sahihi sana huyu mama.....kwa aliyeangalia ile clip kwa kutulia bila mihemuko utaligundua hili.....yule dada alikuwa akitoa ushirikiano kabisaaaaa
Hata mimi hadi leo nahisi ni kitu ilipangwa. Ila tu ni propaganda kuzima ishu gani hapo ndo bado sijang'amua.Sawa ila huo ni mtizamo wangu......na naongezea yule dada alikuwa kahiyari mwenyewe na inaonekana ilikuwa ni planned video clip
Mkuu upo unaota mchana na jua lote hili.....eti watanzania๐คฃ๐คฃ๐คฃwatanzania wa wapi???? Hawa hawa mazwazwa yasiyohoji yenyewe kila kitu sawa tu....Hovyo kabisa wewe, watanzania tutasimama na yule dada hadi haki yake ipatikane and nakuhakikishia kwa jinsi watu wanavyolifuatilia hili swala yoyote atakayejaribu kutetea ule ushenzi au kuvuruga ushahidi hata raisi hatokubali ataliwa kichwa tena faster
Dunia hii....Sasa huyu mama amekosa Nini hapa?
Kila mtu si msafi hata Mimi , hata wewe, hata yule. Sa kwanini unamrushia tope zito hivi. Yule mama ni mtetezi wa kwelikweli wa wanyonge hasa wazee ,wawake ,na watoto. Ukiwa na shida unampigia bila shida anakusikiliza.
Nb.
Je ulitaka aje na tamko litakalokufurahisha?
Ni kweliUnashida ktk kufikiri
Fikra hasi kabisa....Hata mimi hadi leo nahisi ni kitu ilipangwa. Ila tu ni propaganda kuzima ishu gani hapo ndo bado sijang'amua.
Mama kajaza matope kichwani.kesi haijafika mahakamani unatoa suluhisho kuwa wavute bangi na malaya 1.alijuaje kama ni wavuta bangi?Huyo RPC ndiyo kielelezo sahihi cha walivyo hawa tuliowapa jukumu la kulinda raia na mali zetu.
Nashukuru sana Mungu kwa kutokuwa na ndugu kwenye ukoo wetu aliyepo huko kwenye hilo genge la waovu wenye sare.
Huenda, maana ni hisia tu. Hivi mkuu kwa sheria za hapa nchini, threesome ni kosa kisheria?Fikra hasi kabisa....
DAAAAAAAAAAAA, MWANAMKE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Sio rushwa tu bali hakuna maadaili na kumeoza mfumu huu unatakiwa ufunuliwe wote kama alaivyosema HechePolisi hakufai, rushwa imetamalaki.
Kweli polisi ni polisi tu.. ukimwangalia tu usoni unauona unafiki wa wazi kabisa.Kah! kwahiyo anayejiuza inaruhusiwa kubakwa? kwahiyo ile video wameichakachua? huyo mama si ndo anajifanyaga anaijua vifungu vya biblia sana
Kabisa kuna mambo yanaendelea yanalivua nguo jeshi la polisi. Tatzo ni mfumoSio rushwa tu bali hakuna maadaili na kumeoza mfumu huu unatakiwa ufunuliwe wote kama alaivyosema Heche
Usikute washakaa vikao na binti/ ndugu zake na kulimaliza kwa vipande vya fedha
Wewe angalia tu hata hile ishu ya kina tundu lisu, mbilinyi kupigwa na polisi na hakuna kosa lolote la jinai kisa mikusanyiko tu, yani jeshi la polisi sio la kukimbilia, ogopa sana taasisi zenye mamlaka fulani ya kusimamia kisheria huwa zina mabavu, rushwa, sub standard, yani its a corrupt system hutoboi ukisimamia hakiKabisa kuna mambo yanaendelea yanalivua nguo jeshi la polisi. Tatzo ni mfumo
Ni vigumu kwa Polisi kuanzia IGP wao hadi polisi wa mwisho kuuona ufalme wa Mungu, kwakuwa tayari Bwana Yesu alisha wajua na akawaonyaKila mlipomsifu kwa utu na kujali raia hasa wanawake neno langu lilikuwa moja Tu, "HAMUMJUI". Namfahamu tangu akiwa msaidizi wa Mkuu wa Matrafiki kipindi kile ilivuma clip mitandaoni aliposikika akimfokea Askari wa kike aliyedhalilishwa na dereva aliyesema ni "Mtu wa afande". Kama sikosei Askari wa kike alikuwa wa Manyara na sidhani kama hakufukuzwa kazi au kuondolewa trafiki.
Baadaye nikamsikia Rukwa na kisha Songwe. Huyu ni Mtu show off, mwanamke wa matangazo na utakatifu wa kupaka rangi. Bwana asifiwe na kukariri vifungu vya biblia viliwapumbaza wengi Sasa amewaonyesha rangi yake halisi kwamba yale anaoonyesha kwenye media kama yuko tofauti na mapolisi wengine waliozoea kubadili uhalisia Kwa faida yao au ya taasisi yao.
Tusiweke Imani juu ya Wahalifu watakatifu.
Umesahau aliyetuma wamfanyie ukatili pia ni Mwanamke... Ila waliotekeleza ukatili ndio Wanaume.Rais ni Mwanamke na RPC ni Mwanamke na aliyefanyiwa ukatili ni Mwanamke!!!
Kumbe ni kweli wanawake hawapendani๐ฅฑ