Namfahamu RPC Mallya tangu akiwa msaidizi wa Mkuu wa Matrafiki

Kenya kuna taasisi ya kuangalia utendaji WA polisi wanaitwa REPOA. Bongo kunatakiwa kuwa na taasisi ya kuwaangalia utendaji WA hawa jamaa
 
Hilo nalo ni la kujiuliza......ila angalia umakini aliokuwa nao yule dada yaani bidii zote alikuwa nazo kinyume na mtu anayeshurutishwa anatakiwa kuwa katika hali kama ile
Sasa kosa lipo kwenye umakini na bidii ama kwenye tukio lile la kinyama, kauli za wahusika?
 
Kila mlipomsifu kwa utu na kujali raia hasa wanawake neno langu lilikuwa moja Tu, "HAMUMJUI".
Namfahamu tangu akiwa msaidizi wa Mkuu wa Matrafiki kipindi kile ilivuma clip mitandaoni aliposikika akimfokea Askari wa kike aliyedhalilishwa na dereva aliyesema ni "Mtu wa afande". Kama sikosei Askari wa kike alikuwa wa Manyara na sidhani kama hakufukuzwa kazi au kuondolewa trafiki.
Baadaye nikamsikia Rukwa na kisha Songwe. Huyu ni Mtu show off, mwanamke wa matangazo na utakatifu wa kupaka rangi. Bwana asifiwe na kukariri vifungu vya biblia viliwapumbaza wengi Sasa amewaonyesha rangi yake halisi kwamba yale anaoonyesha kwenye media kama yuko tofauti na mapolisi wengine waliozoea kubadili uhalisia Kwa faida yao au ya taasisi yao.
Tusiweke Imani juu ya Wahalifu watakatifu.
Ndio huyu??
IMG-20240818-WA0085.jpg
 
Official statement ya Police imejaa DHAHANIA....huwezi kutumia neno "kama" kwenye statement inayoenda public. Inaonyesha hana uhakika, na kama Hana uhakika ina maana ameshamhukumu kabla ya mahakama, sheria haiko hivyo
 
Yuko sahihi sana huyu mama.....kwa aliyeangalia ile clip kwa kutulia bila mihemuko utaligundua hili.....yule dada alikuwa akitoa ushirikiano kabisaaaaa
Na vile vitisho vya kupigwa na chupa za bia wwe hukuliona hilo!? Wwe umeaangalia upande wa utamu tu!!??
 
Acheni kuhukumu watu bhn uyo mama hajasimama yey kama yey apo ayo maelezo aliyoyatoa ni ya tasisi na sio utashi wake.
 
Mallya ni wale wale ! Huyu mama amezaa mtoto kweli akapata uchungu wa kuzaa ??
Haya maneno Kuna siku atayajutia kwa kweli!!
 
Hilo nalo ni la kujiuliza......ila angalia umakini aliokuwa nao yule dada yaani bidii zote alikuwa nazo kinyume na mtu anayeshurutishwa anatakiwa kuwa katika hali kama ile
Usikariri watu hawafanani kwa kila kitu!!
 
Yuko sahihi sana huyu mama.....kwa aliyeangalia ile clip kwa kutulia bila mihemuko utaligundua hili.....yule dada alikuwa akitoa ushirikiano kabisaaaaa
hivi unajua mazingira ya kutekwa wewe? ulitaka akaze ili wamuue au wampasue!? angekuwa mwanao au dada yakoel usingekuja kuandika haya qumamako
 
Mbona unaandika kama wote tunajua kilichopo kichwani mwako...

Kila mlipomsifu kwa utu na kujali raia hasa wanawake neno langu lilikuwa moja Tu, "HAMUMJUI".
Namfahamu tangu akiwa msaidizi wa Mkuu wa Matrafiki kipindi kile ilivuma clip mitandaoni aliposikika akimfokea Askari wa kike aliyedhalilishwa na dereva aliyesema ni "Mtu wa afande". Kama sikosei Askari wa kike alikuwa wa Manyara na sidhani kama hakufukuzwa kazi au kuondolewa trafiki.
Baadaye nikamsikia Rukwa na kisha Songwe. Huyu ni Mtu show off, mwanamke wa matangazo na utakatifu wa kupaka rangi. Bwana asifiwe na kukariri vifungu vya biblia viliwapumbaza wengi Sasa amewaonyesha rangi yake halisi kwamba yale anaoonyesha kwenye media kama yuko tofauti na mapolisi wengine waliozoea kubadili uhalisia Kwa faida yao au ya taasisi yao.
Tusiweke Imani juu ya Wahalifu watakatifu.
 
Akilawitiwa mwanaye hapo ndipo utaona sheria zetu zilivyo Kali. Sheria zetu zinawaogopa wenye vyeo,
 
Back
Top Bottom