Namfananisha gentamycine na Tundu Lissu

Namfananisha gentamycine na Tundu Lissu

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Namfananisha ndugu yangu GENTAMYCINE Na Tundu Antipas Mughway Lissu.

Hii ni kwasababu sifa zote za GENTAMYCINE alizonazo au anazojinasibisha nazo ni za Tundu Lissu.

Mfano
Charismatic fella
Pure talented
Entertainer
Game changer

Hizi sifa zote ni za Lissu. Hivyo sikosei kusema GENTAMYCINE ni Kama Lissu wa Jamiiforums!

Genta IQ kubwa.
Lissu IQ kubwa.

Superbug.
 
Mnaomchukia genta ruksa kutoa povu
 
Utakataa kwamba Lissu sio game changer wa siasa za Tanzania?

Utakataa kwamba Lissu sio purely talented orator?

Utakataa kwamba Lissu sio charismatic leader?

Ukiyakubali haya basi utamkubali tu GENTAMYCINE mtabe mwenye mvuto hapa jf.
 
Acha kumfananisha Lissu na vitu vya ajabu wewe.
 
  • Thanks
Reactions: amu
IQ yako ikoje mpaka ulinganishe mlima Kilimanjaro na kichuguu?

Back
Top Bottom