Namfananisha Lupita Nyong'o na mwanadada Grace B Jones aliyetamba kwenye filamu za James Bond

Namfananisha Lupita Nyong'o na mwanadada Grace B Jones aliyetamba kwenye filamu za James Bond

Hapana bana, Grace alikuwa mutu ya kazi.

Kwa sasa ni mtu mzima, ana 69 ila tangu ujana wake alikuwa mgumu tu, hebu ukibahatika umcheki kwenye muvi zake.

Kuna moja nimesahau jina alicheza na Schwazernegger....duh, alikuwa ni mascular.
conan the barbarian au conan the destroyer nafikiri the barbarian yuko shida sana mle
 
Back
Top Bottom