Namfananisha Lupita Nyong'o na mwanadada Grace B Jones aliyetamba kwenye filamu za James Bond

Namfananisha Lupita Nyong'o na mwanadada Grace B Jones aliyetamba kwenye filamu za James Bond

Nakumbuka kwa mara ya kwanza nilopokua naangalia movie ya James Baond alafu kuna scene James bond akaanza kufanya matusi na Grace B Jones, nilimuona wa ajabu sana... Atafanyahe matusi na adui...

Cc: mahondaw
 
Kama ulikuwa shabiki wa movie za James Bond basi mapenzi ni lazima yawepo...alafu Bond atalala na adui, series zote zina maadui Wakuu wanaoshirikiana na mademu....na character ya James Bond ni mtu wa totos.
 
Hapana bana, Grace alikuwa mutu ya kazi.

Kwa sasa ni mtu mzima, ana 69 ila tangu ujana wake alikuwa mgumu tu, hebu ukibahatika umcheki kwenye muvi zake.

Kuna moja nimesahau jina alicheza na Schwazernegger....duh, alikuwa ni mascular.
Conan of Barbarian
 
Umenikumbusha movie puto kubwa linapulizwa linageuka Ndege ya Ngani
Yanaitwa Airship.

Movie za James Bond zilikuwa zinatamba kipindi cha era yake, haswa kwenye kuonyesha ubunifu wa kisayansi....jamaa walikuwa wanajipanga kiukweli.
 
Back
Top Bottom