Lukwafya bhagasi
JF-Expert Member
- Oct 21, 2017
- 1,236
- 1,252
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] kwani ina nini mkuu?Mh kwapa ya lupita.....am speechless
I have a dream.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] kwani ina nini mkuu?Mh kwapa ya lupita.....am speechless
Sure ama alifanyie utaratibu likae katika mwonekano mzuri maana ni hatarDuh, asiwe anavaa hizo nguo zisizo na mikono.
Hahahaaa umelionaje mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
umenifanya nirudie kuangalia picha ya lupita
aisee hata me nilikuwa namuwaza sana huyu mwanadada sema jina nilimsahauMjue Muigizaji na Mwanamuziki Grace B Jones aliyetamba miaka ya 1980's, haswa kwenye muvi za James Bond.....muvi kama A view to a kill, huwa namfananisha na Kenyan Actress, Lupita Nyong'o.
View attachment 768023GRACE JONES AND LUPITA NYONG'O.View attachment 768025 View attachment 768039
Yupo USA, ila ni mtu mzima sana kwa sasa anaenda 70.Yupo wapi now?!_
Kama ulikuwa shabiki wa movie za James Bond basi mapenzi ni lazima yawepo...alafu Bond atalala na adui, series zote zina maadui Wakuu wanaoshirikiana na mademu....na character ya James Bond ni mtu wa totos.Nakumbuka kwa mara ya kwanza nilopokua naangalia movie ya James Baond alafu kuna scene James bond akaanza kufanya matusi na Grace B Jones, nilimuona wa ajabu sana... Atafanyahe matusi na adui...
Cc: mahondaw
Conan of BarbarianHapana bana, Grace alikuwa mutu ya kazi.
Kwa sasa ni mtu mzima, ana 69 ila tangu ujana wake alikuwa mgumu tu, hebu ukibahatika umcheki kwenye muvi zake.
Kuna moja nimesahau jina alicheza na Schwazernegger....duh, alikuwa ni mascular.
Ni Conan the Destroyer, sterling Mkuu alikuwa Schwezernigger, Conan the barbarian ni movie nyingine.Conan of Barbarian
Poa nimekusoma mkuuNi Conan the Destroyer, sterling Mkuu alikuwa Schwezernigger, Conan the barbarian ni movie nyingine.
Pamoja.Poa nimekusoma mkuu
Duh, asiwe anavaa hizo nguo zisizo na mikono.
Sina tatizo na muonekano wa kwapa lake Mkuu...nilirespond tu kwa meseji ya mdau.Ndio jinsi kwapa lake lilivyo kama lako, usitake anze kujichubua au kulificha wakati ndio jinsi alivyo. Jiamini.
Ni Golgfinger, bonge la movie...waliitoa kwenye novel maarufu ya James Hadley Chase.Mmenikumbusha movie ya bond ya golden finger!
OvA
Umenikumbusha movie puto kubwa linapulizwa linageuka Ndege ya NganiMjue Muigizaji na Mwanamuziki Grace B Jones aliyetamba miaka ya 1980's, haswa kwenye muvi za James Bond.....muvi kama A view to a kill, huwa namfananisha na Kenyan Actress, Lupita Nyong'o.
View attachment 768023GRACE JONES AND LUPITA NYONG'O.View attachment 768025 View attachment 768039
Yanaitwa Airship.Umenikumbusha movie puto kubwa linapulizwa linageuka Ndege ya Ngani