Namfatilia polepole naona anarudia yale yale tu .VPN X Kwa Godbless lema

Namfatilia polepole naona anarudia yale yale tu .VPN X Kwa Godbless lema

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
12,213
Reaction score
28,916
Jamaa hana jipya wala hakua la maana ni michosho tu na kelele za kutaka ccm irudie mchakato wa uteuzi

USSR
 
Mleta mada naona wakati pole pole anaongea nahisi ulikua umezidiwa na usingizi.
Mimi nimemsikiliza mwanzo mwisho, ameongea mambo mazito sana kwa mustakabali wa nchi yetu, sasa kama wewe umeona hakuna alicho ongea wenzako mpaka sasa hivi bado tunatafakari maneno yake japo mengine tumekwishachukua hatua ya kutokwenda kupiga kura.
 
Jamaa hana jipya wala hakua la maana ni michosho tu na kelele za kutaka ccm irudie mchakato wa uteuzi

USSR
Kafumua mshono wizi wa kura kupitia mfumo wa ccm uliounganishwa moja kwa moja na tume ya uchaguzi na NIDA! Hili hajawahi kulisema popote
 
Mleta mada naona wakati pole pole anaongea nahisi ulikua umezidiwa na usingizi.
Mimi nimemsikiliza mwanzo mwisho, ameongea mambo mazito sana kwa mustakabali wa nchi yetu, sasa kama wewe umeona hakuna alicho ongea wenzako mpaka sasa hivi bado tunatafakari maneno yake japo mengine tumekwishachukua hatua ya kutokwenda kupiga kura.
Katumwa usimlaumu
 
Watanzania ni kama wengi wetu tuna uwezo mdogo wa kufikiria.

Ukisikiliza HP mwanzoni utagundua yeye shida yake CCM ifanyiwe mabadiriko na mama asiwe mgombea.
Tafsiri yake CCM ingefanya hayo yeye asingekuwa na shida ya wizi wa kura wala NRNE.
HP anatuambia analinda kiapo chake kwahiyo kuna baadhi ya mambo hayasemi.

Leo ameibuka anatuambia CCM wanaiba kura kupitia mfumo, ina maana hili asingelisema kama CCM wangekubaliana na fikra zake za Mama kutogombea na mchakato kufanyika kurudiwa na Rais kuwa amtakaye.
Sio mtu wakumuamini kwenye harakati strong dhidi ya CCM.

ndani ya mitaa ya Benghazi Libya.
 
Back
Top Bottom