Namfukuzaje mjomba

Huyo mjomba Mali siyo za ukoo wao amtimue tuu...
 
We jamaa umeongea bonge la kitu.
 
Weee kwani mama Ako ndo MUNGU,? Yaani mtu aharibu kazi uogope maneno ya mama?

Kwanza ukiamuacha akiharibu mkirudia umasikini huyohuyo mama Ako ataongea sn!
Kwanza hizo Mali hazimhusu kabisa,we Cha msingi ongea na kaka zako mmpige chini
 
Mpige chini harafu mwambie mama yako anywe sumu kama alivyoahidi. Njia ya mafanikio inahitaji watu wenye maamuzi magumu pia chunguza kifo Cha mzee wako
 
nashukuru wote kwa ushauri, leo tulikaa kikao cha familia mimi, mama , wajomba na mjomba mhusika, tumeyamaliza kwa amani tu , kashuka kwenye gari na amekubali makosa yake, na tumekubaliana ataenda shamba akisamamie parachichi na mifugo huko, nako huko nimempa precautions kabisa kuwa nina vijana wangu nimefanya nao kazi miaka mingi kidogo hatakiwi kuwatingisha , akifeli huko anarudi kwao MAKETE
 
Hongera Kwa kilichoamuliwa ila endelea kuwa makini zaidi.
 
"pluto" 🤣
 
Mjomba ni mama, mtreat kama mama yaani muulize anataka kiasi gani ili ajitegemee mpe kiasi hicho halafu utemane nae.
Kama mama kivipi wakati ukoo tofauti yani mfano wewe Dada yako kaolewa na mume kafariki halafu wewe uanze kusumbuana na watoto wa dada yako kuhusu Mali zao.
 
Kula na kipofu kivipi wakati mali za familia yao Mama na watoto sasa mjomba hapo anaingiaje mpaka unasema ale na kipofu?
ingekua ana ugomvi na ndugu zake wa kuzaliwa hapo ingekuwa shida kubwa na ingetumika akili na umsemo wako wa kula na kipofu, yani mali kaasha Baba yako halafu wajomba waje wakusumbue haya ni maajabu.
 
Fukuza huyo mjonga ako apeleke usenge wake huko, hata huyo mama ako akitaka anywe sumu mwache anywe tu ata-enjoy maana ni kinywaji kizuri sana....
 
Bosss,tuambie mjomba kakaa sawa au alizingua shambani pia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…