1. watu wanahangaika kutafuta watoto kwa gharama kubwa mno..........
2. watu wanafikia hatua ya kuiba watoto mahospitalini na mitaani na kukimbia nao ili wakawe na furaha....
3. watu wanafikia hatua ya kuweka matambara ili waonekane wana mimba, ukifika muda anaibwa mtoto mahali na kuwa wake....mpango huo unakuwa wa mume na mke.
4. watu wanafikia hatua ya kugombea mtoto hadi mahakamani..........n.k.
katikati ya hayo yote, mtu flani mahali flani, kwa ujanja wa hali ya juu, anapelekewa mimba isiyo yake na inakuwa yake na kujipatia bonge la mtoto kiulaiiini kama hivyo. am i insane nimwite mtu huyu 'bwege'?!!! kwangu huyu ana bahati kuliko wote!!!
nawasilisha