Namhurumia Mchungaji Lusekelo, amepatwa na nini?


Nikuambie mkuu kitu kidogo, yeye ni mwenye kanisa lakini haimaanishi anaruhusiwa kutumia sadaka atakavyo.

Kwanza hizo sadaka lazima kuwe na a/c ya kuzitunza na lazime kuwe na signatories wengine na yeye akiwemo.

Akihitaji kutumia sadaka lazima awaeleze wana bodi wa kanisa kuhusu matumizi aliyoyadhamilia na wapitishe wakigoma hatoi pesa.

Sadaka pia kwa taarifa yako zinakua monitered na serikali. Kanisa lazima lipeleke TRA mapato na matumizi ya kila mwaka wa kodi TRA. Rejea issue ya Kakobe.

So sio kama kisa anakanisa ndio ana mamlaka ya kujichotea tu sadaka, kuna utaratibu wake.

So ki ujumla wizi wa sadaka hata kama ni kanisa lake upo.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maradhi ni kawaida kwa binadamu,
Hilo ufahamu,
Tulia upimwe tupate majibu ya damu

Sasa dokta unaona nasubiri nini
Si kheri nitangulie niwahi pumzika kaburini

Pole kijana
Starehe mnazipenda ila mwisho wake mbaya
Wengi wameteketea kwa kuendekeza umalaya
Vipimo vinaonyesha ni kweli umeathirika
Am very sorry, kupoteza nguvu ya taifa
Kula vizuri, upumzishe mwili wako
Ukizingatia hayo utaishi kwa matumaini
By the way, unayo nafasi, hebu jiamini.
 
Kanisa haliwezi kuwa takatifu hata siku moja....
Kwanini..??

hebu elezea kwanza maana ya kanisa maana usije kuwa umekalili kilichoandikwa katika katekismu “Kanisa Takatifu” doh!!
Nijibu kwanza hapo nilipokuuliza....Nami nitakupa majibu ya maana ya kanisa zaidi ya moja

Mimi ni RC ila huu upuuzi hua naukataa sana
Approval ya ulichokiandika au kukubalika au kusomeka hakuitaji wewe kujinasibu eti ni Mkatoliki...!!!

Sasa hebu niambie ni upuuzi gani huo...???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…