dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,702
- 20,134
Daah!nisamehe nakuchek wanguAlafu mbona umekimya sasa [emoji2955]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daah!nisamehe nakuchek wanguAlafu mbona umekimya sasa [emoji2955]
Kuchukua Mali ya MTU mwingine bila idhini yake,sadaka zile mwenye idhini ya mwisho ni yeye mwenye kanisa. Wahudumu wangechukua ndio tungesema wameiba!!Yeye akitumia vinginevyo hajaiba ,labda tunaweza kusema kafanya Ubadhilifu...yaani kutumia Mali pasipo usahihi wake wa malengo na kiwango kilichotakiwa au kutarajiwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaahaaa.....Rudisha kale kaavata mkuu
Hana mama,vipi unataka ukamatie fursaPesa ya ujanja janja ina mawili itakutoka kijanja au itakuumbuua kijanja...
Pombe mingi afu kwani ana mke vile??
Sent using Jamii Forums mobile app
Mawazo yakugawa magari kwa waumini wake.Mwili wa huyu mchungaji unazidi kudhoofika sijui anaumwa nini.
Tumuombee huyu MtumishiView attachment 1060915
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh...!au sukari
Nini imuoneshe?hii kauli yake ilikua tata mno, subiri ngwengwe imuoneshe
Kwanini..??Kanisa haliwezi kuwa takatifu hata siku moja....
Nijibu kwanza hapo nilipokuuliza....Nami nitakupa majibu ya maana ya kanisa zaidi ya mojahebu elezea kwanza maana ya kanisa maana usije kuwa umekalili kilichoandikwa katika katekismu “Kanisa Takatifu” doh!!
Approval ya ulichokiandika au kukubalika au kusomeka hakuitaji wewe kujinasibu eti ni Mkatoliki...!!!Mimi ni RC ila huu upuuzi hua naukataa sana
Mtumishi labda anapitia wakati mgumu.
Umenihoji wapi..?? Na Aliyekuambia kanisa ni watu pekee ni nani...??Mkuu hata Mimi nimemuhoji maana nijuavyo kanisa ni watu na watu ndo hao mapadri wanaolawiti watoto
Sent using Jamii Forums mobile app