Zuriel_cfc
JF-Expert Member
- Nov 2, 2017
- 4,092
- 9,063
Ile ndo identity yako banaHahaahaaa.....
Kuna watu wengi kalikua kanawafanya watapike pizza....tehteehh [emoji12]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ile ndo identity yako banaHahaahaaa.....
Kuna watu wengi kalikua kanawafanya watapike pizza....tehteehh [emoji12]
Mmmm kazi sanaZilianza kuvuma kuwa yupo hoi kitandani.....hatimaye waumini wake wakaambiwa Baba Godi ameenda kuzimu na kuna siku atarudi na nguvu kubwa ya kuondoa mapepo na kutenda miujiza mikubwa ya kutembea juu ya bahari....hadi leo tunasubiri,
Usicheke mkuuUmenichekesha japo haikustahili.
Sawa chief....Ile ndo identity yako bana
Mm nilisoma kipindi icho mwalimu wetu alikodisha pale kama darasa mana kanisa halikua kubwaLusekelo alikuwa ana hadi Sunday school? Bado ipo?
Humu jukwaani kuanguka kwa afya ya mtu huwa ni furaha kuu kwa watu.Nadhani unapoona afya ya mwanadam mwenzako inazorota sio jambo la kushangilia sana.Mana hata wewe yanaweza kukupata..
Inasikitisha kuna kipindi cha television niliona akiojiwa alisema mwaka1990s aliwai ugua TB na alitibiwa akapona kabisa.Tatizo nadhani ni kurejea kunywa pombe kali.Huenda tatizo limemrudia.Najaribu kubahatisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya mambo si yakuchonga sana siunaona mpaka leo 14yrs yupo wewe ukisaidiwa una acha Mungu mwenyewe atavuna mbegu na maguguDuuuuuh ila Baba God japokuwa alikuwa anatumia Nguvu za Giza sintomsahau mwaka 2004 mama angu Bugando Hosp aliambiwa ana kansa ya INI na akaambiwa within 6 months atakuwa kafa , alikuwa kavimba tumbo balaa, akaenda kwa baba God kuombewa tumbo likaisha akapona kurudi Bugando akaambiwa haumwi chochote, mpk Leo yupo hai na mzima wa Afya, 14 yrs now
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama pombe,hapo ni figo tu zinasumbua,
Daaaaah [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Inasmekekana kile kitaulo ni kujifuta jasho maana pale mbele alikuwa anakaa na kichupa cha konyagi.
Hata wagonjwa tuna haki ya kuzitumia akili zetu vile tunapenda!!Uko bize kumjadili binaadam mwenzako, kwani we mzima 100℅?
Mkuu, hilo ni jembe, ni mtu wa zoezi, ambae hakuna rais wa E.A anaeweza kumfikia.Kama pombe,hapo ni figo tu zinasumbua,
Kwanini watu hawaigi maisha ya Ali Hassan Mwinyi
Sent using Jamii Forums mobile app
OkayMm nilisoma kipindi icho mwalimu wetu alikodisha pale kama darasa mana kanisa halikua kubwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Akinyoa nywele ndiyo atazidi kuwa mdogodogo.At least angenyoa hizo nywele
Kanisa ni mwili wa KristoWala hata siwezi tumia nguvu katika kuelezea ama kuelewa upuuzi. Hebu jibu maana ya kanisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Anafufua wafu?...Wa Tanganyika Packers yule wa kweli hana mauza uza yule anachapa injili ya kweli sina mashaka naye
Sent using Jamii Forums mobile app
Ebu ngoja kwanza zilikuwa ni soda au bia?...maana soda hazileweshi[emoji848]Skandali nyingine mbaya niliyoipata toka kwa shemeji yenu ni kwamba huyu mtumishi alikuwa na appointment na dada mmoja mzuri na hela zake na pia ana usafiri. Baada ya soda mbili 3 yule dada hakujua kilichoendelea, ila alipozinduka alikuta yuko chumbani na sehemu nyeti zimechafuka sana na mtumishi hayupo kesha ondoka. Wamekataa kunitajia jina ka huyo dada nimfahamu huenda ni mtu wa karibu.
Kinachonishangaza mimi pamoja na kuona ile clip aliyolewa akitukanana na jirani yake ni kwamba jamaa yangu tumeoa sehemu moja alisota miaka kibao hapati mtoto, wakaenda kwa huyu mtumishi wakapata mtoto ila ana matatizo. Haya mambo yanishangaza sana. Sijui wana mbinu gani.
Sent using Jamii Forums mobile app