Namhurumia Mchungaji Lusekelo, amepatwa na nini?

Namhurumia Mchungaji Lusekelo, amepatwa na nini?

Zilianza kuvuma kuwa yupo hoi kitandani.....hatimaye waumini wake wakaambiwa Baba Godi ameenda kuzimu na kuna siku atarudi na nguvu kubwa ya kuondoa mapepo na kutenda miujiza mikubwa ya kutembea juu ya bahari....hadi leo tunasubiri,
Mmmm kazi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umenichekesha japo haikustahili.
Usicheke mkuu
Kwa mika yangu 5 ya jf nawajua hawa wenzangu.
Huwa ni jack of all trades and master of all.
Humu wanajua ugonjwa wa kila mtu, mwanasiasa, msanii, nabii, mchungaji, na kila aina.
Ni wewe tu kuanzisha thread majibu utapata kama haya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani unapoona afya ya mwanadam mwenzako inazorota sio jambo la kushangilia sana.Mana hata wewe yanaweza kukupata..

Inasikitisha kuna kipindi cha television niliona akiojiwa alisema mwaka1990s aliwai ugua TB na alitibiwa akapona kabisa.Tatizo nadhani ni kurejea kunywa pombe kali.Huenda tatizo limemrudia.Najaribu kubahatisha

Sent using Jamii Forums mobile app
Humu jukwaani kuanguka kwa afya ya mtu huwa ni furaha kuu kwa watu.
Binadamu wazuri kuongea nao usoni moyoni wanakuzodoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuuuuh ila Baba God japokuwa alikuwa anatumia Nguvu za Giza sintomsahau mwaka 2004 mama angu Bugando Hosp aliambiwa ana kansa ya INI na akaambiwa within 6 months atakuwa kafa , alikuwa kavimba tumbo balaa, akaenda kwa baba God kuombewa tumbo likaisha akapona kurudi Bugando akaambiwa haumwi chochote, mpk Leo yupo hai na mzima wa Afya, 14 yrs now

Sent using Jamii Forums mobile app
Haya mambo si yakuchonga sana siunaona mpaka leo 14yrs yupo wewe ukisaidiwa una acha Mungu mwenyewe atavuna mbegu na magugu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uko bize kumjadili binaadam mwenzako, kwani we mzima 100℅?
Hata wagonjwa tuna haki ya kuzitumia akili zetu vile tunapenda!!
Hata mkiazimia kutoshirikiana nasi potelea mbali!!!!
 
Skandali nyingine mbaya niliyoipata toka kwa shemeji yenu ni kwamba huyu mtumishi alikuwa na appointment na dada mmoja mzuri na hela zake na pia ana usafiri. Baada ya soda mbili 3 yule dada hakujua kilichoendelea, ila alipozinduka alikuta yuko chumbani na sehemu nyeti zimechafuka sana na mtumishi hayupo kesha ondoka. Wamekataa kunitajia jina ka huyo dada nimfahamu huenda ni mtu wa karibu.

Kinachonishangaza mimi pamoja na kuona ile clip aliyolewa akitukanana na jirani yake ni kwamba jamaa yangu tumeoa sehemu moja alisota miaka kibao hapati mtoto, wakaenda kwa huyu mtumishi wakapata mtoto ila ana matatizo. Haya mambo yanishangaza sana. Sijui wana mbinu gani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ebu ngoja kwanza zilikuwa ni soda au bia?...maana soda hazileweshi[emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom