Namhurumia Mchungaji Lusekelo, amepatwa na nini?

Kama ni mtumiaji wa pombe kali sana inawezekana ikawa chanzo ila kama sio sana basi inawezekana "GRIDI".
 
Ukiona mtu anaanza kuvaa makoti wakati zamani alikuwa akivaa "Nyerere" ama "Kaunda" ama "Nguabi" jua iko namna flani hivi!
 
Pamoja na kwamba simkubali na sikubaliani na mahubiri yake na ulokole kwa ujumla, ugonjwa kwa binadamu sio jambo la kudhihaki hata siku moja. We'll all die someday, yaani sote tutakufa, hakika tutakufa, styles za kufa tu ndio tunatofautiana..

Nampa pole sana kwa kuugua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…