Namhurumia Mchungaji Lusekelo, amepatwa na nini?

Namhurumia Mchungaji Lusekelo, amepatwa na nini?

Mbona sie kitaa twaipiga konyagi asubuhi tena na maandazi ya mama Dula na tupo fresh? Labda kakosea "Masharti" au muda wa upako ndo ume expire... So sad kwa wale wote waumini wa mahubiri ya mwendo kasi.
ENDELEENI KUROPOKA KAMA KASUKU
HAMJUI UMUHIMU WAKE
1062376

1062377
 
Kama ni mtumiaji wa pombe kali sana inawezekana ikawa chanzo ila kama sio sana basi inawezekana "GRIDI".
 
Ukiona mtu anaanza kuvaa makoti wakati zamani alikuwa akivaa "Nyerere" ama "Kaunda" ama "Nguabi" jua iko namna flani hivi!
 
Pamoja na kwamba simkubali na sikubaliani na mahubiri yake na ulokole kwa ujumla, ugonjwa kwa binadamu sio jambo la kudhihaki hata siku moja. We'll all die someday, yaani sote tutakufa, hakika tutakufa, styles za kufa tu ndio tunatofautiana..

Nampa pole sana kwa kuugua.
 
Back
Top Bottom