Namhurumia Mchungaji Lusekelo, amepatwa na nini?

Nimeshtuka sana kuona picha hii ya mchungaji Lusekelo,kwa kweli afya yake imeporomoka sana tena sana,jamaa bila shaka ni mgonjwa...View attachment 1060239
Wakati ni ukuta ndugu zangu,na mtaji pekee maishani ni afya njema otherwise kiufupi mzee baba hapa mtaji umeshayumba.Pole kwa yote bw mkubwa

Super bachelor
 
Usiniambie kila mtu, nakuuliza wewe ulimuona? au umejihakikishia vp kupitia ushahid wako mwenyew sio wa kuambiwa
Mi nakumbuka alisema mwenyewe kuwa anapiga WINE ila hakusema kama anapiga ngumu nyeupe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…