Namhurumia Mchungaji Lusekelo, amepatwa na nini?

Kanisa la makahaba na wakusanya sadaka

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata uongee maneno makali vipi haiondoi ukweli,
Haipunguzi nafasi
Haifanyi lisiaminike
Na haikufanyi uende peponi
Wala haifanyi kibanda umiza chako kikawa badala yake,
Wala haifanyi mamaa ako km alifanya ukahaba ikawa siyo,
Bora uwekeze ktk kujitakasa kuliko kutukana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Itakuwa kweli ana Kisukari,ngoma siku hizi haiwezi kukupeleka mpaka kunyonyoka nywele wakati ARVs zipo za kumwaga,ila kizamani watu walikuwa wanafikia hiyo hatua,ajipange aende Nigeria akaombewe kwa TB Joshua,huwa nona wachungaji kama yeye kutoka mataifa tofauti wamekwenda kuombewa na kupona.....
 
stephot!
 
Na wale wanawake wanaotafuta mimba kwa hawa watu yeleuwiii

Sent using Jamii Forums mobile app
Soma hii

Jr[emoji769]
 
Itakuwa kweli ana Kisukari,ngoma siku hizi haiwezi kukupeleka mpaka kunyonyoka nywele wakati ARVs zipo za kumwaga,ila kizamani watu walikuwa wanafikia hiyo hatua,ajipange aende Nigeria akaombewe kwa TB Joshua,huwa nona wachungaji kama yeye kutoka mataifa tofauti wamekwenda kuombewa na kupona.....
Jawapatani na TB kabisa,nakumbuka aliwahi muita tapeli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom